M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
petition wasilisheni ninyi wenye vilabu vyenu dhidi ya hao wanasiasa uchwara ndani ya vilabu vyenu.Mkuu nakuunga Mkono kwa hili. Sisi wanachama wa SIMBA tumeumizwa saana na huu upuuzi wa huyu gabachori na amekuwa mbishi saana. Changamoto imekuwa wapi pa kuanzia ila nakuhakikishia tupo tayari kukuunga mkono wewe tuongoze. Tuwasiliane
sisi wengine tusioshabikia hivi vilabu vyenu tunasubiri kuchukua hatua dhidi ya vilabu endapo tu nyie wafuasi mtawanyamazia hao.