Ushabiki ndo utakao angamiza nchi hii na wala sio CCM wala Watawala

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,692
Kuna kiwango cha juu cha ushabiki wa kijinga nchi hii.

Kwa sasa tunashabimia ndege ila tuulize kama kwenye maisha tulio nayo tunawexa kuzipanda hizo ndege.

Kuna tunal shabikia ila tumeshinda njaa mchana si kwa kupenda ila ni kwa sababu ya maisha.

Kuna tunao shabikia ila tumetoka Hosipitalini na kuambiwa dawa fulani hakuna tukanunue.

Kuna tunao shabikia ila kule vijijini ndugu zetu wanaishi kwenye umasikini mkubwa sana, chai kwao ni anasa, maji maji kwao ni kama anasa fulani.

Kuna tunao shabikia ila ndugu zetu wana miaka 5 tangu wahitimu na hakuna ajira wala nini ila sisi tuko bise na ushabiki.

Kuna tunao shabikia ila ndugu na jamaa wamekwama kutibiwa na tunatakiwa kuwachangia pesa. Kwenye nchi inayo nunua ndege kwa cash.

Tunashabikia ila ndugu zetu huu ni mwaka wa 4 hakuna nyongeza za mishahara ila sisi tuko bise na ushabiki.

Hakika ushabiki utatuangamiza
 
Wapinzani wamebanwa sana na nchi watu wengi hawana uelewa mambo yanavyoenda ndo mana sifa zimekuwa nyingi kikubwa chadema nafasi inavyopatikana kiugumu ugumu hivyo hivyo waitumie vizuri kuongea na wananchi jinsi wanavyodanganywa na serikali na hayo mamiradi hewa waache habari za kulamimikia democrasia tutazidi kujirudisha nyuma
 
Wewe ni chizi kwani kufaidi matunda ya ndege mpaka uzipande zikilipa kodi na kutoa gawio kwa serikali hujui kama utafaidi, zikiongeza idadi ya watalii wakaja kumwaga dollar kwa wazawa hujui kama utafaidi, pumbavu sana uchadema usikufanye chizi
 
Punguza ukal wa maneno

Zinaongezaje hao watalii?!
 
Wewe ni chizi kwani kufaidi matunda ya ndege mpaka uzipande zikilipa kodi na kutoa gawio kwa serikali hujui kama utafaidi, zikiongeza idadi ya watalii wakaja kumwaga dollar kwa wazawa hujui kama utafaidi, pumbavu sana uchadema usikufanye chizi
idadi ya watalii
 
Watalii wakiamua kuja watakuja tu na walikuwa wakija hata bila ya kuwepo hayo MaATCL!
 
Mkuu we kunywa bia tu haya mambo wengine tumemuachia Mungu ndio amue kuhusu hatima ya nchi yetu !
 
Muombe mama yako akupeleke shule ukaanze upya
Mimi baba yako, bibi yako hana huo uwezo ungeweza kunielewesha taratibu, ndege zinaongezaje idadi ya watalii?!
Muwe na lugha ya staha, mimi baba yako na chat humu pia.
Halafu kumbuka mama yako sikumtelekeza, alipianza umalaya hakurudi mpaka leo anazurula, hivyo usiwe na hasira na mimi.
 
Back
Top Bottom