Ushabiki kumpamba Lowassa leo: Ujinga halisi wa Watanzania au laana ya fedha?

mnahangaika nini? Lowassa ndie Rais na tupo hapa hapa jamvini msijekimbia, hapa hapatikani kiongozi msafi, isipokuwa wa kuweza kutukomboa ni Lowassa au Slaa tu

ww unacheza makida makida uwenda ujui nini unafanya tumpe mwizi nchi
 
Hivi nyie mnaomtetea Lowasa mnamaanisha kweli au mnachangamsha baraza tu? Si amini kuwa mtu mwenye akili timamu na anayeitakia mema nchi yetu anaweza kuja na wazo la Lowasa kuwa rais, huu ni wendawzimu kabisa
 
Mtu huyu ni HATARI san tena ni mtu wa kulipa visasi,bora akae mbali kabisa na URAIS asituharibie nchi,naapa kabisa huyu akipewa URAIS haitaisha miaka 2 LAZIMA machafuko makubwa yatokee tena vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Nina imani kabisa huyu mtu hana akili timamu na inawezekana amerithi kutoka kwa baba yake,kwani nilipata kumfahamu baba yake mzazi hata mama yake mzazi kwa muda mrefu,huwezi amini hata mzazi wake alikuwa hamuamini kabisa kiasi cha kwenda kumshitaki kwa Mwl. Nyerere kuwa mwanae ni mwizi, leo iweje sisi waTZ tumuamini kwa URAIS. Hili la baba mzazi kumshtaki mwanae ni la kweli kabisa wala siyo la uongo au kufikirika ni LIVE BILA CHENGA.
 
Mimi naona kumfagilia Lowassa ni sawa sawa na kukubali ku-settle for less. Watanzania tusijishushe kiasi hiki kwakweli we can do better than this ( We do not need JK and we do not need Lowassa either; wote ni hao hao tu sema strategies na uelewa umetofautiana lakini kama grade one is -F na mwingine +F (if it exist). Kweli CCM wameishiwa kabisa? Kama CCM wako serious lazima waelewe this is not a popularity contest ni lazima wamteue kiongozi mzalendo, mwenye uchungu na nchi sio kuendeleza usanii.

CCM ni mlimao mwitu ambao unaulazimisha kutoa machungwa. Kwenye red ni kwamba haiwezekani hiyo choice ya mtu mwadilifu kufanywa na CCM. Unachofanya hapa ni sawa na kupanda michongoma halafu unalazimisha kuvuna soya. Haiwezekana chama kinatakiwa kibomoke
 
Lowasa ni kama paka.Akiona panya lazima amkamate hata kama paka huyo kawekewa vyakula vizuri vizuri mbele yake.

Sio mtu anayefaa kuwa RAIS kamwe.
 
Mtu huyu ni HATARI san tena ni mtu wa kulipa visasi,bora akae mbali kabisa na URAIS asituharibie nchi,naapa kabisa huyu akipewa URAIS haitaisha miaka 2 LAZIMA machafuko makubwa yatokee tena vita vya wenyewe kwa wenyewe

Kwa maana nyingine hata laana anayo kutoka kwa baba kwani kama baba ameamua kukushitaki ina maana mkwara wote na laana hazijasaidia halafu mtu kama huyu ndo anajidai anaipenda sana TZ. HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwa maana nyingine hata laana anayo kutoka kwa baba kwani kama baba ameamua kukushitaki ina maana mkwara wote na laana hazijasaidia halafu mtu kama huyu ndo anajidai anaipenda sana tz. Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
el hatasaulika kwa kuwa mwepesi wa kuchukua maamuzi hasa kuwaachisha kazi maofisa wazembe wa serikali. Pia ametoa mchango mkubwa kujenga shule za sekondari katika kila kata nchini. Akiwa rais atainua kiwango cha huduma za afya kwani atahamasisha ujenzi wa zahanati kila kata
 
Lowasa ashitakiwe haraka sana, CCM wanamchosha Dr Slaa na kesi za kipumbavu Arusha wakati wezi kama Lowasa wapo mtaani kifua mbele Ebo! Kikwete hata kama muliiba wote sasa mgeuke kwa heshima ya nchni aliyeapishwa ni wewe si yeye!
 
Binafsi bado sijaona ubaya wa lowasa, kwa kuwa mambo yoooote mabaya yanayoongelewa juu yake ni ya kizushi hakuna hata moja lenye ushahidi. ila nimjuavyo mimi huyu bwana ni mchapa kazi kuliko JK na Pinda.
 
Binafsi bado sijaona ubaya wa lowasa, kwa kuwa mambo yoooote mabaya yanayoongelewa juu yake ni ya kizushi hakuna hata moja lenye ushahidi. ila nimjuavyo mimi huyu bwana ni mchapa kazi kuliko JK na Pinda.

Hapo kwenye blue umesema kweli kabisa kwani RUSHWA HUPOFUSHA
 
Kwi kwi kwi
MCHONGANISHI

Tunawachukia wote. Ndiyo maana mtu yeyote aliye na harufu ya kifisadi tunasema hatufai. Tanzania deserves better. Na Lowassa atakuwa worse than Kikwete, worse than Mkapa, worse than Mwinyi.

Afadhali tujiepushe naye mbali kwa sababu naamini kuna Watanzania wenye uwezo wa kuongoaza nchi hii mbali na Lowassa. Akae pembeni ale mali zake (kama hazitakamatwa na mwendawazimu mmoja).
 
Ndugu mimi binafsi sina shida na mgombea wa ccm namkubali sana, tatizo ni chama na mfumo wake wa kusimamia rasilimali zetu.
Ni bora tufumbe macho tuiondoe ccm kisha 2020 tupate kiongozi bora tutakae ona anafaa tumpe nchi aipange.
Lakini hii ya mwaka huu tuchukulie km dharura.
 
Ukisikia karma ndio hii.

Dr. Slaa kadhalilishwa kupita kipimo. Sasa hivi Dr. Slaa anaonekana ganda la ndizi.
 
Tutajadili sana humu kuhusu Lowassa lakini ukweli wa kisiasa ni kuwa Lowassa has gone beyond scientific reasonning. Tembea sehemu zote za nchi hii jina ni Lowassa. Ukiiuliza kwanini Lowassa wanakwambia upepo upo kwake. Ila iwe wazi kuwa umaarufu wake umechangiwa mara dufu na uhuni wa CCM ya JK na kinana na Mkapa
 
EL anaweza vipi kufanya yote haya ndani ya katiba ya UKAWA na ilani ya CDM? Siyapendi kabisa mengi tu ninayosikia kuhusu EL lakini ikumbukwe kwamba mafisadi wengine woote waliobaki wapo CCM, ni mawaziri kule, ni wabunge kule, wakurugenzi wa mawizara etc na wameshapitisha katiba inayowapa uwezo wa kufanya yote hapo juu, wamepitisha na sheria ya ku wa shut up whistle blowers, na Magufuri kasema mwenyewe kwamba atasimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na katiba kwa nguvu zake zote. Yaani choices zote zilizopo kwa sasa zina walakini lakini CCM is the worst!
 
Laana mbaya ni kuishabikia ccm kama zuzu kutokana na kupewa vitisheti kanga na kofia .Lowasa ni kiongozi anayetakiwa sasa.tumechoshwa na maigizo ys ccm.
 
Back
Top Bottom