Jimjuls JF-Expert Member Jun 10, 2011 484 161 Feb 20, 2014 #41 Tuliza mtori nyama zipo chini. Ukiona manyoya ujue kaliwa.
tomjelly JF-Expert Member Jul 29, 2013 560 197 Feb 20, 2014 #42 Lakini Kumbuka, Chupi ni jamii ya Kaptula ndogo.
W wakunyata Member Oct 14, 2012 67 14 Feb 20, 2014 #43 Hata uwe umekomaa vipi, ukilala hauwezi kufunga macho kwa pini.
alohadm JF-Expert Member Dec 23, 2013 359 153 Feb 21, 2014 #45 Nguo ya zamani ndio tambala jipya la deki.
Son.j JF-Expert Member Jan 10, 2013 993 2,253 Feb 21, 2014 #47 Kulya said: Kuna kijana mwenye gari. Click to expand... Kuna kijana mtanashati.
K Kulya JF-Expert Member Sep 24, 2011 368 150 Feb 22, 2014 #51 Magnificient said: Hatoki mtu hapa! Click to expand... Kudadadadeki!
M mwana ally JF-Expert Member Jan 30, 2014 363 119 Feb 22, 2014 #52 msakahabari said: Mwanamke maziwa, makalio hata baba anayo Click to expand... Jamanii hata kama yatoka Chinaa
msakahabari said: Mwanamke maziwa, makalio hata baba anayo Click to expand... Jamanii hata kama yatoka Chinaa
M mwana ally JF-Expert Member Jan 30, 2014 363 119 Feb 22, 2014 #53 dada pili said: Mkaa hauuzwi super market Click to expand... Haaa!! hujaona best upooo...unawekwa kwenye mfuko fresh no vumbi no nini..
dada pili said: Mkaa hauuzwi super market Click to expand... Haaa!! hujaona best upooo...unawekwa kwenye mfuko fresh no vumbi no nini..
M mwana ally JF-Expert Member Jan 30, 2014 363 119 Feb 22, 2014 #54 Hata awe mkubwa kiasi gani Mbuzi hageuki Ng'ombe.....
xfactor JF-Expert Member Jan 25, 2014 1,511 1,287 Feb 22, 2014 #56 Safari asafiri mchaga,akisafiri mzaramo mnasema kaenda ngomani Kunguru naye ndege ila habebi abiria
Elviejo JF-Expert Member Jun 1, 2012 368 193 Feb 22, 2014 #57 felinda said: Mm mti mkavu sichimbwi dawa. Click to expand... Huogopi KUKATWA kuni?...
felinda JF-Expert Member Jun 23, 2012 351 136 Feb 22, 2014 #58 Elviejo said: Huogopi KUKATWA kuni?... Click to expand... Siogopi mkuu.
M mwana ally JF-Expert Member Jan 30, 2014 363 119 Feb 22, 2014 #60 Mpenzi wako mpya..ni wa zamani kwa mwenzio..