Used spea za rav 4 zinauzwa kwa jumla

Ajmeel

Member
Mar 4, 2016
28
9
Tunauza spea za Rav 4 kwa jumla zilizopo Zanzibar,spear zimenunuliwa Dubai na zimeshukia ZNZ,spea zinauzwa under cost to cost basis na mnunuzi ataunyeshwa original receipt ili ahakiki kabla ya makubaliano,

Spear zilizopo ni za Rav 4 OLD ya mwaka 1998
na za Rav 4 ya Mwaka 2003 na spear moja tu ya RAV 4 ya Mwaka 2009,

Aina ya spear zilizopo ni
Front full shockups zipo 12
back full shockups zipo 06
Jumpin complete with ABS zipo 02
Jumpin complete with NO ABS zipo 02
Crystal Nosecut ipo 01
Brake Master cylinder zipo 05
Sterring Rack zipo zipo 03
Madigurd yapo 08

FURSA kwa wenye ndoto ya kuanzisha biashara ya spea.
IMAG0044.jpg
IMAG0043.jpg
IMAG0042.jpg
IMAG0041.jpg
IMAG0038.jpg
IMAG0038.jpg
IMAG0038.jpg
IMAG0036.jpg
IMAG0035.jpg
 
Tunauza spea za Rav 4 kwa jumla zilizopo Zanzibar,spear zimenunuliwa Dubai na zimeshukia ZNZ,spea zinauzwa under cost to cost basis na mnunuzi ataunyeshwa original receipt ili ahakiki kabla ya makubaliano,

Spear zilizopo ni za Rav 4 OLD ya mwaka 1998
na za Rav 4 ya Mwaka 2003 na spear moja tu ya RAV 4 ya Mwaka 2009,

Aina ya spear zilizopo ni
Front full shockups zipo 12
back full shockups zipo 06
Jumpin complete with ABS zipo 02
Jumpin complete with NO ABS zipo 02
Crystal Nosecut ipo 01
Brake Master cylinder zipo 05
Sterring Rack zipo zipo 03
Madigurd yapo 08

FURSA kwa wenye ndoto ya kuanzisha biashara ya spea.View attachment 631075View attachment 631077View attachment 631078View attachment 631079View attachment 631080View attachment 631081View attachment 631082View attachment 631083View attachment 631084
IMAG0037.jpg
 
Maana imezuka tabia ya uwizi wa hivi vitu, watu wanaruka kuta za watu usiku wanafungua taa na vyovyote vinavifungulika kirahisi then wanauza, hapa kati kati polisi walieka zuio la kununua spare kienyeji hivi ili kupambana na hili janga la uwizi.
My take: kuwa makini sana, anaweza katokea mteja kajifanya anataka kununua kumbe ndo unaingia kwenye mtego wa vyombo vya usalama na itakuwia vigumu kueleza umetoa wapi ivo vitu
 
Ahsante kwa ushauri ila mkuu Nina full receipt ya HV vitu,kuanzia manunuzi Dubai,viza nilipokwenda na clearance docs znz,hata kama ikihitajika kuviweka hapa naweza viweka in single minute,kila kitu ni halali na vimeainishwa kwenye receipts vyote.
 
Back
Top Bottom