cc: Mnunuzi mkuu hekimatele!
nimekusoma mdau
hekimatele umepotea au umeanza kuogopa vitisho ,tunahitaji mchango wa ukosoaji na udadisi wako,kumbuka hao wanaokusema ni sawa na wale akina dua la kuku halimpati mwewe ,au maji ya moto hayaunguzi nyumba