Used Marine Sheets na Mbao. Bei 30,000 na mbao 3,000

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wakubwa,

Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa sheet moja. Kama utachukua zote leta 28,000 per peace.

Mbao nina za aina mbali mbali nazo nauza bei ya kuku.
 
Mkuu niko Arusha nahitaji hapo 50 kwa kazi ya haraka
 
hizo marine sheet si zinafaa kwa uvuvi au ni za kuezekea nyumba tu best? nifafanulie hapo?
Wakubwa,

Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa sheet moja. Kama utachukua zote leta 28,000 per peace.

Mbao nina za aina mbali mbali nazo nauza bei ya kuku.
 
Naishi dar pia, kigamboni. Nipe bei

Face book: alfredkohiathotmaildotcom
 
Unataka ngapi kaka. Ninazo kama 300. Nauza nusu bei.

Naomba namba yako tuongee biashara naweza kuchukua zote ila mpaka wiki ijayo na inategemeana kiasi gani utapunguza bei

alfredmkohiatgmaildotcom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom