deezekiels
Member
- Mar 20, 2014
- 42
- 3
Habari ndugu wana jf, Mimi Ni kijana mjasiria Mali nafanya shughuli zangu kanda ya ziwa. Nahitaji used corolla au Carina about 1999 au 2000 goli langu Ni 4mil, kwa alie kanda ya ziwa na yu tayari kukubali ofa yangu tuwasiliane 0767919520