USD 300 Million, Pro-Govt, Barrick Gold na Tundu Lissu

Barrick hawajakubali kulipa hiyo $300m, hizo pesa wamezitoa kulinda urafiki tu na sio malipo yoyote. Hiyo ni sawa na rushwa.
Sahihi kabisa,Ila hii ya kulipa alisema tangu siku ya kwanza alipotua Tz. Hata kama ni mrungula lazima upitishwe na wawekezaji wenye umiliki mkubwa. Suala nyeti ambalo halijapatiwa ufumbuzi ni ACACIA ambapo hata bosi wa Barrick amekiri kuwa mambo ni magumu. ACACIA bado wanabakia kuwa wezi na watashughulikiwa tu.
 
Mkuu ungeuliza watu wanaojua uzalishaji wa hii kitu ndo ukaja hapa. Makontena 250 kwa mwezi ni ya makinikia ya wapi? Tatizo letu watz kila mmoja anajua. Umekaa na kuamua kufanya hesabu zako ili wasiojua uwapotoshe.
Sasa naamini maneno ya msigwa kuhusu kazi ya upinzani.....
Watz tungetumia sehemu ya muda wetu kutembelea hii migodi tukkaona kinachoendelea, ukifuata taratibu unarusiwa bila shida kuliko kuuaminisha umma mambo yasiyokuwepo.
Mawazo ya hovyo kabisa haya! Kwamba, asiyekubaliana na nyinyi ni mpinzani! Umeelewa nilichondika au umekurupuka tu halafu unadai eti tatizo kila mmoja anajifanya anajua!!! Nimeandika, according to JPM, ile siku ya kupokea ripoti alisema kwamba:
Kuna kamati inayotaka kujua makontena yanasafirishwa mangapi, haraka haraka ni makontena 250 na 300 kwa mwezi, kwa mwaka zaidi ya makontena 3600.
Sasa hao Watanzania wanaojifanya kujua ni huyo JPM, au?! Au hao wapinzani aliowasema Msigwa kwamba kazi yao ni kupinga tu ni huyo JPM, au?! Au ni JPM unayemwambia awe anaenda migodini badala ya kudanganya watu?! Au huelewi maana ya "according" to? Kwani ni nani alitoa hizo takwimu kama sio JPM?!
 
Je serikali imeshitakiwa kwa kuzuia makinikia, msihamishe magoli kila wakati?

Accacia hakufyta mkia ikabidi Barrick waingize timu? Hilo mtalitafakari wenyewe jinsi mtakavyo.

Tindu Lissu hakuwa mpayukaji katika hili akizania ni mtaji wa kisiasa kwake? Je kupayaka ndio ulikuwa utaratibu wa hekima katika suala hili, Lissu na wafuasi wako na waachia mtafakari. Je ilikuwa sahihi kwa Lissu kuendelea kupayka baada ya kuona dhamira ya dhati kabisa ya Mh Rais Magufuli kutaka kuyafanyia kazi mambo waliyoyapigia kelele huko nyuma. Kama una akili timamu utajua Lissu alitaka umaarufu na pengine mbeleni kuutaja urais wa JMT na hii ilizidi pale alipoupata urais wa TLS akaona atengeneze mazingira.

Hata alipolazwa hospitali kelele za makanikia zilipungua mno na mazungumzo yameendelea kwa amani na angalau mwanga umeonekana.

Lakini kinacho ni staajabisha ni watu wa aina ya Chinge!!! Kwa nini hawajikiti kuangalia mafanikio taifa litayo pata kama haya mambo ya jana yata materilise? Wao wanakimbilia kuhangaika na Lissu alikuwa right? Alikuwa right/ wrong then what? Kama si unafiki uliokubuhu? Usd 300 million wote tumeambiwa kishika uchumba lakini watu kibao wanapotosha.

Accacia akubali asikubali mwenye share kubwa ni Barrick. Kama kiongozi wa Barrick alivyo kubali kubeba zigo la mavi na kuja kuingia katika mazungumzo na Serikali ya JMT jueni suala hili linaenda kuisha kwa amani. Najua mwajua hampendeni kuona haya yanatokea na hampendi mh JPM akifanikiwa katika lolote lile.

Mark my words Mh Magufuli anaenda sana kufanikiwa kama Rais wa JMT, lakini kama wakina Finehesi wa utawala wake wakizibitiwa maana ndio wana muharibia kwa sasa.

Mchina wajF.
Na washawasha
 
Sahihi kabisa,Ila hii ya kulipa alisema tangu siku ya kwanza alipotua Tz. Hata kama ni mrungula lazima upitishwe na wawekezaji wenye umiliki mkubwa. Suala nyeti ambalo halijapatiwa ufumbuzi ni ACACIA ambapo hata bosi wa Barrick amekiri kuwa mambo ni magumu. ACACIA bado wanabakia kuwa wezi na watashughulikiwa tu.
Sasa miezi miwili imepita na mmeshindwa kuthibitisha huo wizi; how long do you need kuthibitisha?!
 
Je serikali ineshitakiwa kwa kuzuia makinikia, msihamishe magoli kila wakati?

Accacia hakufyta mkia ikabidi Barick waingize timu? Hilo mtalitafakari wenyewe jinsi mtakavyo.

Tindu Lissu hakuwa mpayukaji katika hili akizania ni mtaji wa kisiasa kwake? Je kupayaka ndio ulikuwa utaratibu wa hekima katika suala hili, Lissu na wafuasi wako na waachia mtafakari. Je ilikuwa sahihi kwa Lissu kuendelea kupayka baada ya kuona dhamira ya dhati kabisa ya Mh Rais Magufuli kutaka kuyafanyia kazi mambo waliyoyapigia kelele huko nyuma. Ksma una akili timamu utahua Lissu alitaka umaarufu na pengine mbele kuuta urais wa JMT na hii ilizdii pale alipoupata urais wa TLS akaona atengeneze mazingira.

Hata alipo nalazwa hospitali kelele za makanikia zilipungua na mazungumzo yameendelea kwa amsai na mwanga umeongezeka

Lakini kinacho ni staajabisha ni watu wa aina ya Chinge!!! Kwa nini hawajikiti kuangalia mafanikio taifa litayo pata kama haya mambo ya jana yata materilise? Wao wanakimbilia kuhangaika na Lissu alikuwa right? Alikuwa right/ wrong then what? Kama si unafiki uliokubuhu? Usd 300 wote tume ambiwa kishika uchumba lakini watu kibao wanapotosha.

Accacia akubali asikubali mwenye sgare kubwa ni Barrick. Kama kiongozi wa Barrick alivyo kubali kubeba zigo la mavi na kuja kuingia katika mazungumzo na Serikali ya JMT jueni suala hili linaenda kuisha kwa amani. Najua mwajua hampendeni kuona haya yanatokea na hampendi mh JPM akifanikiwa katika lolote lile.

Mark my words Mh Magufuli anaenda sana kama Rais wa JMT, kama wakiba Finehesi wa utawala wake wakizibitiwa maana ndio wana muharibia kwa sasa.

Mchina wajF.
Na washawasha
Nani anaamisha magoli?!

Mosi nimeeleza suala la mahakama! Pili, tangu zamani interest yangu haijawahi kuwa masuala ya kisheria na ndo maana tangia hapo nimekuwa nikifanya data computation na nikawa nasema wazi kabisa kwamba hizi data za akina Mruma ni hazi-make sense!!! Nikaweka hapa hadi consolidated balance sheet ya Barrick Gold!!!

Kwamba eti USD 300 Million ni kishinga uchumba continue dreaming kwa sababu mmezoea kutafuniwa kila na wanasiasa!!! Huhitaji kuwa genius kufahamu kwamba GNT imeshindwa ku-prove ni namna gani Barrick Gold yenye kampuni zaidi ya 5 ndani yake kwa mwaka inatengeneza revenue ya less than USD 4 Billion lakini kampuni moja tu, among those 5 inatengeneza profit kwa mabilioni ya dola!!! Yaani ni sawa na kusema ndoo moja inayoweza kujazwa kwa madumu 5 yenye lita 5 kila moja; bado unategemea dumu moja kati ya hayo peke yake lilikuwa na ujazo wa lita 200!!!
 
pia inawezekana figures walizotoa kamati zinaeza kua sio sahihi...
nikiangalia barick wenyewe kampun yao its worth $22bn ambazo ni sawa na trillion 49...nkajiuliza hzo trillion 400 watazitolea wap????
Hii nchi tuna vichwa vya ajabu!!! Kuna siku hapa niliweka consolidated balance sheet ya Barrick ambayo ndani yake ni makampuni zaidi ya 5!!! Ilikuwa ukiangalia ile balance sheet na figure tulizokuwa tunawekewa hapa; nikasema wazi kwamba ingawaje kuna chetu tunadai lakini wala hatufahamu tunadai kiasi gani! Na kwavile hatufahamu tunadai kiasi gani, lazima tutashindwa ku-prove figures zetu na matokeo yake ndo haya lakini bado kuna wengine wapo kwenye usingizi wa pono!!!!!
 
Mbona tena umesahau kumtaja Lissu katika hii post maana ndio kipimo chenu. Nime uliza hayo tuliyo ya sikia jana ya kimaterialize hizo data ambazo unazikusanya zina sema je? nchi itanufaika ua hainufaiki?
.
Hebu angalia hiyo balance sheet ya Barrick wakitoa hizo 300 usd million tena kwa hiari, mambo yao yata kuwa vipi? Tena kwa vile wewe mwenyewe ni mtaalamu wa data kama ulivyo jinasibu waweza usione wapi kwenye hiyo balance sheet yao wataipata 300usd million na Usipo iona usiache kujiuliza wataitoa wapi?

Mchina wajF.
Na washawasha!

Nani anaamisha magoli?!

Mosi nimeeleza suala la mahakama! Pili, tangu zamani interest yangu haijawahi kuwa masuala ya kisheria na ndo maana tangia hapo nimekuwa nikifanya data computation na nikawa nasema wazi kabisa kwamba hizi data za akina Mruma ni hazi-make sense!!! Nikaweka hapa hadi consolidated balance sheet ya Barrick Gold!!!

Kwamba eti USD 300 Million ni kishinga uchumba continue dreaming kwa sababu mmezoea kutafuniwa kila na wanasiasa!!! Huhitaji kuwa genius kufahamu kwamba GNT imeshindwa ku-prove ni namna gani Barrick Gold yenye kampuni zaidi ya 5 ndani yake kwa mwaka inatengeneza revenue ya less than USD 4 Billion lakini kampuni moja tu, among those 5 inatengeneza profit kwa mabilioni ya dola!!! Yaani ni sawa na kusema ndoo moja inayoweza kujazwa kwa madumu 5 yenye lita 5 kila moja; bado unategemea dumu moja kati ya hayo peke yake lilikuwa na ujazo wa lita 200!!!
 
Unajua watanzania tuu mahodari wa kukurupuka. Umeambiwa the 300m is just a goodwill gesture but discussions on the tax issues a small committee will formed. Jambo halijamalizika sisi tushalikosoa. Jee what is the value ya 16% na 50% ya profit value, tena ukichanganya na makubaliano yote , value that Tanzania has achieved is much higher than 190b , kueni nakini na hivi viji Lissu mchwara wanaopinga kila kitu JPM analofanya, kwenye hili nadhani hata Lissu angesema alilizungumzia Hilo bungeni ama angesema Wao kama Chadema ndio ulikuwa ushauri wao bungeni.

Wacheni siasa za kuharisha

Hivi huo umiliki wa 16% utapatikana kwa utaratibu gani? Itabidi serikali kununua hisa? Nimesoma article Bloomberg news inasema hivi: "As part of the proposed deal, a new Tanzanian operating company will be created to manage Acacia’s three main mines, and the government “will participate in decisions” related to its operations, investment, planning, procurement and marketing, Barrick said in a second statement. The economic benefits would be split on a 50/50 basis between the new company and Tanzania, and the government’s share will be “delivered in the form of royalties, taxes, and a 16 percent free carry interest in the Tanzanian operations,” Barrick said." Barrick Strikes $300 Million Deal With Tanzania in Acacia Fight . Sijaelewa.
 
Mkuu sijui kama umeyafuatilia yale makubaliano vizuri.

Hizi $300m ni kishika uchumba (place holder) tu wakati kikosi kazi (working group) chetu kinaendelea na mazungumzo na upande wa ACACIA/BARRICK kuhusu lile deni la ukwepaji kodi ili wafikie final settlement.

Najua kuna wengi ambao hawafurahii mafanikio ya haya mazungumzo lakini tusipotoshe ukweli jamani.
Come on man, nimefuatilia na hiyo lugha ya kwamba this's ni kishika uchumba ndivyo inavyoonekana! But, mazungumzo hivi sasa nadhani yanakaribia miezi 3 or at least miezi 2! Muda wote huo ina maana serikali bado wameshindwa ku-verify figures zao or else, haya mambo ya kishika uchumba yasingekuwapo na badala yake Acacia wangetakiwa kulipa wanachohitajika kulipa!!!!

The problem ya watu kama nyinyi ndo yale yale yaliyopelekea Tundu Lissu kupigwa risasi! Kwamba, mtu akisema tofauti anaonekana anaichukia serikali au hapendi kuona mazuri yanafanyika! Tundu Lissu alisema wazi kwamba, ukitaka kuwaminya watu kama hawa ni lazima kwanza ujitoe MIGA kwa sababu MIGA ndiyo inawapa kiburi!! Na hata hao Acacia kiburi chote wanafahamu mkiendelea kuwalazimisha kulipa hayo matrilioni, lazima wataenda mahakamani na kule lazima tutashindwa tu kama TANESCO walivyoshindwa kesi kadhaa!!!

Lakini hoja safi kama hiyo ya Lissu watu mkaipotosha na kusema anatetea wazungu na matokeo yake; mwezi wa 3 sasa Acacia wamedindisha huku mkijipa matumaini kwamba hicho ni kishika uchumba!!!!!

And am telling you! Serikali isivyokuwa makini inawezekana hiyo ikawa ni janja yao kutaka makinikia yaruhusiwe! Ni mwisho wa mwaka huu na watu wanataka kufunga vitabu!!!! Na usishangae wakiweka kila kitu sawa, ukakuta watu wanafungasha virago na kusema kuliko kulipa hizo trilioni ngapi sijui ambazo bado mnaziota!!!
 
Mbona tena umesahau kumtaja Lissu katika hii post maana ndio kipimo chenu. Nime uliza hayo tuliyo ya sikia jana ya kimaterialize hizo data ambazo unazikusanya zina sema je? nchi itanufaika ua hainufaiki?
.
Hebu angalia hiyo balance sheet ya Barrick wakitoa hizo 300 usd million tena kwa hiari Mambo yao yata kuwa vipi? Tena kwa vile wewe mwenyewe ni mtaalamu wa data kama ulivyo jinasibu waweza usione hapi kwenye hiyo balance sheet yao. Usipo iona usiache kujiuliza wataitoa wapi?

Mchina wajF.
Na washawasha!
Na wewe kipimo chako ni nani? Too low to argue with....
 
Win win situation maana yake wameshinda tumeshinda kwaiyo wote washindi chamsingi tujue walikua mwanzo wanatupa ngapi tujue tumeongeza ngapi
 
Kwanza niseme jambo moja! Barrick wamekubali kulipa USD 300 Million. Hili si jambo la kubeza lakini pia si la kushangilia! Si la kubeza kwa sababu, kama isingekuwa vurugu za JPM basi hata hizo USD 300 Million tusingepata!!!

Aidha, si jambo la kufurahia sana kwa sababu, mosi, Acacia wameshinda lakini pili, ni jambo lililotuvua nguo !! Wameshinda na tumevuliwa nguo kwa sababu hiyo USD 300 million ni less than 1% ya kile tulichoitangazia dunia kwamba tunawadai Acacia!!

Endapo tunachotaka kupata na tumekubali ni less than 1% ina maana mahesabu ya Acacia yapo sahii kwa angalau 99%!! Vinginevyo, ikiwa kweli serikali iliamini tunawadai Acacia zaidi ya Trillion 400, sijui logic ya kukubali Billion 660 inatoka wapi kama si kwamba serikali nayo imekubaliana na mahesabu ya Acacia kwa kiasi kikubwa!!!

Ngoja tukumbushane jambo dogo sana kutoka Ripoti ya Profesa Mruma. Ripoti ile inasema kwamba: Hiyo ni Ripoti ya Profesa Mruma ambayo ilituambia kwa yale makontena yaliyokamatwa bandarini awamu ya kwanza peke yake yalikuwa na madini yenye thamani ya angalau Sh. 829.4 Billion!!!

Kwa maana nyingine, pesa tunayolipwa ni pungufu ya angalau TZS 170 Billion kwa kulinganisha na mapato ya makinikia peke yake, tena makinikia yaliyopo kwenye makontena 277 huku, according to JPM, ile siku ya kupokea ripoti alisema kwamba:Sasa ikiwa madini kutoka kwenye makontena 277 tu yana thamani ya zaidi ya Billion 800; what about makontena yote 3600 yanayosafirishwa kwa mwaka mzima?!!

Swali; ina maana Profesa Mruma na wenzake walidanganya figures ambazo walizitoa?! Kama hawakudanganya, how come tushindwe kupata angalau 25% ya haki yetu?!

Kutokana na ukweli huo, ndio maana nina kila sababu ya kusema Acacia wameshinda tena 5-1!! Hapa ndipo inapokuja hoja dhidi ya wakosoaji wa Tundu Lissu! Wakosoaji hawa wanamkejeli Tundu Lissu kwamba mbona Acacia hawajaenda basi mahakamani!!!

Guys, wekeni siasa pembeni kisha tumieni vichwa vyenu kufikiri!! Kwa mujibu wa ripoti ya kwanza na ya pili Acacia wametufanyia umafia kwa miaka 17. Kodi ambayo tulikuwa tunawadai bila fani ni Sh. Trillion 108 na ukichanganya na faini inafikia zaidi ya Trilioni 400.

Kutoka kwenye Trillion 108 hadi Sh. 660 Billion; hivi hata ungekuwa wewe ungeenda mahakamani wakati unafahamu kabisa kwamba hata kama Trillion 108 sio sahihi basi angalau Trilioni 50 zitakuwa sahihi!!!!

Hivi hapo utaenda mahakamani kufanya nini wakati unafahamu consequences zake?!

Binafsi nimeshawahi kufuatilia kesi kadhaa zinazoendelea kwenye hizi mahakama! Hizi kesi zinachukua hata miaka 10 kabla ya kutolewa maamuzi!!!

Hivi hapo mlitarajia Acacia wangeendelea kurundika makontena kwa muda mrefu zaidi bila kufanya biashara yoyote huku wanaweza kuendelea kufanya biashara at the expense of only $ 300 Million?!

Mlishawahi kujiuliza ni kiasi gani Acacia wangepoteza compared to hizo USD 300 Million endapo wangeenda mahakamani?!

To sum up above argument; kumkejeli Tundu Lissu kwamba mbona Acacia hawajaenda mahakamani inaonesha ni namna gani tunavyoshindwa kuangalia mambo kwa mapana yake!!!

Kwa tozo ya USD 300 Million, Acacia hana sababu ya kwenda mahakamani kwa sababu wameshinda manake endapo wanaenda mahakamani hivi sasa, watakachopteza ni zaidi ya hiyo 300 million hata kama watashinda kesi!!!

Watakuwa wamepoteza zaidi ya 300 million kwa sababu, mosi ingechukua muda mrefu zaidi kurudi kweney biashara huku na pili, hisa zao zingeendelea kushuka!!

Je, Tundu Lissu ameshindwa?! Aliyoongea ni kwa sababu hajielewi?

Tundu Lissu huyu hapa siku akielezea suala hilo:

Text version ya aambacho alisema Tundu Lissu ni hiki hapa:

Mosi, kwanini serikali imekubali kulipwa TZS 660 billion out of TZS 108 Trillion (bila faini) au TZS 425 Trillion (with faini)?

Kimsingi serikali wamekubali kwa sababu Acacia walikomaa na kubisha kulipa hayo matrilioni!!! Acacia walikomaa kwa sababu walifahamu endapo serikali wangekomalia hayo matrioni basi wao wangeenda mahakamani !!!

Tutake tusitake, kule mahakamani tungeshindwa tu!!! Kwa wanaofuatilia masuala ya nchi hii wanafahamu ni kesi ngapi tumeangukia pua kwenye hizi mahakama!!! Ukitaka kufahamu ushenzi wa hizi mahakama nendeni pale TANESCO muwaulize ni mara ngapi wamepigwa za uso kupitia issue ya IPTL!!!

Ni kutokana na ukweli kwamba hizi mahakama ni pumbafu, ndio maana Tundu Lissu akasema:
Watu wanaojiita eti ni wazalendo wanakejeli kauli kama hiyo kwa sababu tu imetolewa na Tundu Lissu!!! Au ni uelewa?! Hivi ni uzalendo au ubutu wa kuelewa mambo?!

Alichosema Tundu Lissu ndicho hasa huwa kinafanywa na nchi ambazo zimeamua kuingia vitani kiukweli n hizi multinational companies! Unajiondoa kwanza ili kuwakatia pumzi wawekezaji!!!

Tumeona Acacia walikomaa kwa sababu walifahamu ni wapi wangekimbilia endapo serikali ingekomalia matrioni! Lakini endapo Tanzania wangejiondoa kwanza jeuri ya Acacia ingeishia hapo!!! Wasingekomaa kivile kwa sababu wangefahamu hatimae wanapambana na nchi isiyozitambua the so called sheria za kimataifa zinazolinda wawekezaji!!!

Kutokana na hilo, Acacia ingewabidi ama kukubali kulipa trilioni kadhaa (hata kama sio zote) au kufungasha virago na kuondoka!!

But again, ngoja tugusie kidogo hilo suala la USD 300 Million!!!

Kwenye posts zangu za nyuma nilizungumzia sana suala smelters!!! Kama kawaida, wapo ambao walikuwa wanakejeli na kudai eti unaweza kupata smelters kwa dola elfu kadhaa!!!

Nikatoa changamoto hapa kwamba, kama hizo smelters ni bei ndogo kiasi hicho, ni kwanini basi serikali isiwekeze ili kuwakomoa Acacia wanaotuibia kupitia mwanya wa kusafirisha makontena!

Wiki kadhaa baadae, kupitia ripoti nyingine serikali ikashauriwa kushirikiana na Acacia kujenga smelters!!! Wakati suala la smelters linakuja kwa mara ya kwanza, taarifa zilisema copper smelters zinazotakiwa zinafika hadi USD 500 Million!!!

Hivi sasa moja ya makubaliano ya serikali na Acacia ni kuanzisha kampuni ya pamoja itakayoendesha biashara ya madini kati yao!!! Sasa basi, wakati tunafurahia hizo USD 300 Million, serikali msisahau tumeshauriwa kushirikiana na Acacia kujenga hizo smelters ili makinikia yasisafirishwe!!!

What a genius move from Acacia?!

Yaani Acacia wanataka kutulipa USD 300 Million huku wakifahamu kabisa serikal watatakiwa kuzirudisha ili kujengea copper smelters na bado tunapiga makofi kwamba tumewakomesha!!!!!!

Mbaya zaidi, hivi sasa tutakuwa tunashirikiana na Acacia wakati kimsingi, kwa kiaisi kikubwa tumekubaliana na mahesabu yao na ndio maana tumekubali less than 1% ya kile tunachodai!!

Hello nice, Ila presentation yako inahitaji akili kubwa kuielewa na ku-Comment accordingly.
 
Acha ujinga bwana shige? Ujinga ni kutolea mifano kesi za TANESCO za kujishindisha kama sehemu ya ulaji. Kwa nini mwashindwa kuushinda unafiki?

Mchina wajF.
Na washawasha!

Come on man, nimefuatilia na hiyo lugha ya kwamba this's ni kishika uchumba ndivyo inavyoonekana! But, mazungumzo hivi sasa nadhani yanakaribia miezi 3 or at least miezi 2! Muda wote huo ina maana serikali bado wameshindwa ku-verify figures zao or else, haya mambo ya kishika uchumba yasingekuwapo na badala yake Acacia wangetakiwa kulipa wanachohitajika kulipa!!!!

The problem ya watu kama nyinyi ndo yale yale yaliyopelekea Tundu Lissu kupigwa risasi! Kwamba, mtu akisema tofauti anaonekana anaichukia serikali au hapendi kuona mazuri yanafanyika! Tundu Lissu alisema wazi kwamba, ukitaka kuwaminya watu kama hawa ni lazima kwanza ujitoe MIGA kwa sababu MIGA ndiyo inawapa kiburi!! Na hata hao Acacia kiburi chote wanafahamu mkiendelea kuwalazimisha kulipa hayo matrilioni, lazima wataenda mahakamani na kule lazima tutashindwa tu kama TANESCO walivyoshindwa kesi kadhaa!!!

Lakini hoja safi kama hiyo ya Lissu watu mkaipotosha na kusema anatetea wazungu na matokeo yake; mwezi wa 3 sasa Acacia wamedindisha huku mkijipa matumaini kwamba hicho ni kishika uchumba!!!!!

And am telling you! Serikali isivyokuwa makini inawezekana hiyo ikawa ni janja yao kutaka makinikia yaruhusiwe! Ni mwisho wa mwaka huu na watu wanataka kufunga vitabu!!!! Na usishangae wakiweka kila kitu sawa, ukakuta watu wanafungasha virago na kusema kuliko kulipa hizo trilioni ngapi sijui ambazo bado mnaziota!!!
 
US $ 300 million siyo kodi wala faini.
Ni zawadi tu wameamua kuipa serikali ya Tanzania kwa uhusiano mzuri.
 
Unajua watanzania tuu mahodari wa kukurupuka. Umeambiwa the 300m is just a goodwill gesture but discussions on the tax issues a small committee will formed. Jambo halijamalizika sisi tushalikosoa. Jee what is the value ya 16% na 50% ya profit value, tena ukichanganya na makubaliano yote , value that Tanzania has achieved is much higher than 190b , kueni nakini na hivi viji Lissu mchwara wanaopinga kila kitu JPM analofanya, kwenye hili nadhani hata Lissu angesema alilizungumzia Hilo bungeni ama angesema Wao kama Chadema ndio ulikuwa ushauri wao bungeni.

Wacheni siasa za kuharisha
Kuhusu 50/50 hivi ndivyo wanasema:
Economic benefits from Bulyanhulu, Buzwagi, and North Mara will be distributed on a 50/50 basis between the new operating company and the Government of Tanzania. The Government’s share of economic benefits would be delivered in the form of royalties, taxes, and a 16 percent free carry interest in the Tanzanian operations.
Be very careful na hapo kwenye BLUE manake at the end of the day unaweza kujikuta wewe ndie unaeharisha hapa na hizo habari za USD 190 Billion wakati Market Capital ya the whole Barrick ni less than USD 30 Billion.

For what I see kwenye hiyo 50/50 ni Pepsi imemiminiwa kwenye chupa ya Coca Cola halafu unaambiwa kunywa Coca Cola hiyo!!!!!
 
Kwanza niseme jambo moja! Barrick wamekubali kulipa USD 300 Million. Hili si jambo la kubeza lakini pia si la kushangilia! Si la kubeza kwa sababu, kama isingekuwa vurugu za JPM basi hata hizo USD 300 Million tusingepata!!!

Aidha, si jambo la kufurahia sana kwa sababu, mosi, Acacia wameshinda lakini pili, ni jambo lililotuvua nguo !! Wameshinda na tumevuliwa nguo kwa sababu hiyo USD 300 million ni less than 1% ya kile tulichoitangazia dunia kwamba tunawadai Acacia!!

Endapo tunachotaka kupata na tumekubali ni less than 1% ina maana mahesabu ya Acacia yapo sahii kwa angalau 99%!! Vinginevyo, ikiwa kweli serikali iliamini tunawadai Acacia zaidi ya Trillion 400, sijui logic ya kukubali Billion 660 inatoka wapi kama si kwamba serikali nayo imekubaliana na mahesabu ya Acacia kwa kiasi kikubwa!!!

Ngoja tukumbushane jambo dogo sana kutoka Ripoti ya Profesa Mruma. Ripoti ile inasema kwamba: Hiyo ni Ripoti ya Profesa Mruma ambayo ilituambia kwa yale makontena yaliyokamatwa bandarini awamu ya kwanza peke yake yalikuwa na madini yenye thamani ya angalau Sh. 829.4 Billion!!!

Kwa maana nyingine, pesa tunayolipwa ni pungufu ya angalau TZS 170 Billion kwa kulinganisha na mapato ya makinikia peke yake, tena makinikia yaliyopo kwenye makontena 277 huku, according to JPM, ile siku ya kupokea ripoti alisema kwamba:Sasa ikiwa madini kutoka kwenye makontena 277 tu yana thamani ya zaidi ya Billion 800; what about makontena yote 3600 yanayosafirishwa kwa mwaka mzima?!!

Swali; ina maana Profesa Mruma na wenzake walidanganya figures ambazo walizitoa?! Kama hawakudanganya, how come tushindwe kupata angalau 25% ya haki yetu?!

Kutokana na ukweli huo, ndio maana nina kila sababu ya kusema Acacia wameshinda tena 5-1!! Hapa ndipo inapokuja hoja dhidi ya wakosoaji wa Tundu Lissu! Wakosoaji hawa wanamkejeli Tundu Lissu kwamba mbona Acacia hawajaenda basi mahakamani!!!

Guys, wekeni siasa pembeni kisha tumieni vichwa vyenu kufikiri!! Kwa mujibu wa ripoti ya kwanza na ya pili Acacia wametufanyia umafia kwa miaka 17. Kodi ambayo tulikuwa tunawadai bila fani ni Sh. Trillion 108 na ukichanganya na faini inafikia zaidi ya Trilioni 400.

Kutoka kwenye Trillion 108 hadi Sh. 660 Billion; hivi hata ungekuwa wewe ungeenda mahakamani wakati unafahamu kabisa kwamba hata kama Trillion 108 sio sahihi basi angalau Trilioni 50 zitakuwa sahihi!!!!

Hivi hapo utaenda mahakamani kufanya nini wakati unafahamu consequences zake?!

Binafsi nimeshawahi kufuatilia kesi kadhaa zinazoendelea kwenye hizi mahakama! Hizi kesi zinachukua hata miaka 10 kabla ya kutolewa maamuzi!!!

Hivi hapo mlitarajia Acacia wangeendelea kurundika makontena kwa muda mrefu zaidi bila kufanya biashara yoyote huku wanaweza kuendelea kufanya biashara at the expense of only $ 300 Million?!

Mlishawahi kujiuliza ni kiasi gani Acacia wangepoteza compared to hizo USD 300 Million endapo wangeenda mahakamani?!

To sum up above argument; kumkejeli Tundu Lissu kwamba mbona Acacia hawajaenda mahakamani inaonesha ni namna gani tunavyoshindwa kuangalia mambo kwa mapana yake!!!

Kwa tozo ya USD 300 Million, Acacia hana sababu ya kwenda mahakamani kwa sababu wameshinda manake endapo wanaenda mahakamani hivi sasa, watakachopteza ni zaidi ya hiyo 300 million hata kama watashinda kesi!!!

Watakuwa wamepoteza zaidi ya 300 million kwa sababu, mosi ingechukua muda mrefu zaidi kurudi kweney biashara huku na pili, hisa zao zingeendelea kushuka!!

Je, Tundu Lissu ameshindwa?! Aliyoongea ni kwa sababu hajielewi?

Tundu Lissu huyu hapa siku akielezea suala hilo:

Text version ya aambacho alisema Tundu Lissu ni hiki hapa:

Mosi, kwanini serikali imekubali kulipwa TZS 660 billion out of TZS 108 Trillion (bila faini) au TZS 425 Trillion (with faini)?

Kimsingi serikali wamekubali kwa sababu Acacia walikomaa na kubisha kulipa hayo matrilioni!!! Acacia walikomaa kwa sababu walifahamu endapo serikali wangekomalia hayo matrioni basi wao wangeenda mahakamani !!!

Tutake tusitake, kule mahakamani tungeshindwa tu!!! Kwa wanaofuatilia masuala ya nchi hii wanafahamu ni kesi ngapi tumeangukia pua kwenye hizi mahakama!!! Ukitaka kufahamu ushenzi wa hizi mahakama nendeni pale TANESCO muwaulize ni mara ngapi wamepigwa za uso kupitia issue ya IPTL!!!

Ni kutokana na ukweli kwamba hizi mahakama ni pumbafu, ndio maana Tundu Lissu akasema:
Watu wanaojiita eti ni wazalendo wanakejeli kauli kama hiyo kwa sababu tu imetolewa na Tundu Lissu!!! Au ni uelewa?! Hivi ni uzalendo au ubutu wa kuelewa mambo?!

Alichosema Tundu Lissu ndicho hasa huwa kinafanywa na nchi ambazo zimeamua kuingia vitani kiukweli n hizi multinational companies! Unajiondoa kwanza ili kuwakatia pumzi wawekezaji!!!

Tumeona Acacia walikomaa kwa sababu walifahamu ni wapi wangekimbilia endapo serikali ingekomalia matrioni! Lakini endapo Tanzania wangejiondoa kwanza jeuri ya Acacia ingeishia hapo!!! Wasingekomaa kivile kwa sababu wangefahamu hatimae wanapambana na nchi isiyozitambua the so called sheria za kimataifa zinazolinda wawekezaji!!!

Kutokana na hilo, Acacia ingewabidi ama kukubali kulipa trilioni kadhaa (hata kama sio zote) au kufungasha virago na kuondoka!!

But again, ngoja tugusie kidogo hilo suala la USD 300 Million!!!

Kwenye posts zangu za nyuma nilizungumzia sana suala smelters!!! Kama kawaida, wapo ambao walikuwa wanakejeli na kudai eti unaweza kupata smelters kwa dola elfu kadhaa!!!

Nikatoa changamoto hapa kwamba, kama hizo smelters ni bei ndogo kiasi hicho, ni kwanini basi serikali isiwekeze ili kuwakomoa Acacia wanaotuibia kupitia mwanya wa kusafirisha makontena!

Wiki kadhaa baadae, kupitia ripoti nyingine serikali ikashauriwa kushirikiana na Acacia kujenga smelters!!! Wakati suala la smelters linakuja kwa mara ya kwanza, taarifa zilisema copper smelters zinazotakiwa zinafika hadi USD 500 Million!!!

Hivi sasa moja ya makubaliano ya serikali na Acacia ni kuanzisha kampuni ya pamoja itakayoendesha biashara ya madini kati yao!!! Sasa basi, wakati tunafurahia hizo USD 300 Million, serikali msisahau tumeshauriwa kushirikiana na Acacia kujenga hizo smelters ili makinikia yasisafirishwe!!!

What a genius move from Acacia?!

Yaani Acacia wanataka kutulipa USD 300 Million huku wakifahamu kabisa serikal watatakiwa kuzirudisha ili kujengea copper smelters na bado tunapiga makofi kwamba tumewakomesha!!!!!!

Mbaya zaidi, hivi sasa tutakuwa tunashirikiana na Acacia wakati kimsingi, kwa kiaisi kikubwa tumekubaliana na mahesabu yao na ndio maana tumekubali less than 1% ya kile tunachodai!!

Umejikanyaga kanyaga kwenye ulichoandika!!

Haya toa pendekezo. Wewe ungekuwa serikali ungefanya nini?
 
Back
Top Bottom