Usb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usb

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Born Star, Jan 29, 2012.

 1. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hivi nikitumia usb cable kwenye simu ya nokia nikachomeka kwe pc naweza kutumia sim kama modem nikapata internet
   
 2. danione

  danione Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Year unaweza unachotakiwa uwe na nokia pc kama huna download hapa

  http://nds1.nokia.com/files/support/global/phones/software/Nokia_PC_Suite_eng_web.exe
   
 3. danione

  danione Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
 4. Born Star

  Born Star JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
 5. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa iwe kwenye pc pekee ili kukusaidia kuitambua simu yako na kukupatia options nyingi tu ikiwemo hiyo ya kutumia simu yako kama modem
   
 6. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Pia nadhani inatakiwa uwe na driver ya simu yako.either kwenye cd au utaisearch internet. Maana ukiplug cable,new device inakua detected.but that new device haitakuwa install so inabidi uende device manager and update your driver.kama unayo cd ya simu yako basi update driver from cd.kama hauna cd bas update driver from internet.ndiyo nokia pc suite itasoma simu yako uloplug kwa cable.otherwise kama huna driver unaweza kesha bila mafanikio
   
 7. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  baada ya kuinstall nokia pc suite unatakiwa uconnect simu na computer kupita usb port. unapochomeka tu utapata option kwenye simu zikiwemo mass storage,media transfer and ovi suite..sasa ili uweze kupata internet inabidi kwenye simu uselect option ya nokia suite (ovi suite) alafu uende kwenye PC yako uendelee na process nyingine ambao zinaeleweka na ni rahisi ,wala hazichukui muda...
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  ndio inawezekana kama ukiwa na software ya hiyo simu
   
 9. Skillseeker

  Skillseeker JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  itabidi aiinstall kwanza software ndo mengine yafuate..kama hana software anaweza kuitumia simu kwa data transfer tuu(mass storage)
   
Loading...