Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,898
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi yangu ni mwanahabari nahabarisha watuPumzika thread za siasa ule x-massssss
Hizo habari za ufipa zinachosha.kazi yangu ni mwanahabari nahabarisha watu
Unaelewa maana ya chama tawala?
Merry Christmas, maana ya chama tawala kwa Tanzania ni ukandamizaji wa upinzaniUnaelewa maana ya chama tawala?
za mzee meko?Hizo habari za ufipa zinachosha.
Mbona umekazana leo kupost hii content yako kila uzi?Hata miji hauna unaandaa ugaidi mzee
Kivutio kikubwa duniani ni miji iliyopangwa na kujengwa kwa ufasaha (na siyo wanyama na milima). Kuna jitihada mbalimbali zimefanyika na mipango jiji la DAR ES SALAAM/ZANZIBAR ili kuhakikisha inakuwa kama Dubai lakini tukaambulia kuwa na majengo ya ovyo na kujenga nyumba ndogo ili ipo siku tutabomoa na kujenga Gorofa ambapo kwa uhalisia/kiasi kikubwa tunapoteza sumenti nyingi/mchanga mwingi/Gypsum/mapati (steel), kutokuwa na mifumo ya majitaka/maji safi, kusababisha foleni/uchawi n.k.
Aidha, hali hii inajidhihilisha kwenye majiji yote ya Tanzania (ikiwemo mbeya, Iringa, Arusha) kwa kuwa na vyoo kibao kila nyumba, barabara zisizo tengenezeka wakati tunaweza kutumia zege na kuwa na balabala njema kabisa. Kwa hali inavyokwenda tutafika miaka 100 tukiwa na dreams za kwenda kuangalia miji mizuri na iliyopagwa tutakaposafiri kuelekea ulaya/dubai/china. Bila kujiuliza ilijengwaje?
Kama ukijiuliza hili swali ndipo utakapo jua kuna haja ya watanzania kutenga miezi miwili (happy month) kwa kila mwaka kwa ajili ya watu kufanya mazoezi ya kujenga miji ambayo itahakikisha ramani ya mipango inatekelezwa kikamilifu. Ambapo, Serikali inatenga fungu/fedha za kujenga miji (labda kama mafundi wanataka kuchezea tope milele maana nyumba hazina lifespan) na kila mtu anajua kuwa Serikali haifirisiki kwani ipo vizuri kuzungusha fedha kwa njia ya kodi na tozo na viwanja ni vya Serikali.
Maisha ni mipango miji.
Kamuulize mchungaji Msigwa.Unaelewa maana ya upinzani??
Hamna kitu kama hicho. Haya, Merry Christmas and a Happy New Year to you.Merry Christmas, maana ya chama tawala kwa Tanzania ni ukandamizaji wa upinzani
naona unazidi kuziweka akili zako nyuma na wewe unaenda mbeleHamna kitu kama hicho. Haya, Merry Christmas and a Happy New Year to you.
Acha kuweweseka wewe.naona unazidi kuziweka akili zako nyuma na wewe unaenda mbele