Usanii wa Vyombo vya habari hapa Tanzania ona hiii!!

Nafuu umetufungua macho mkuu, maana nilikua nasema duh barlow amefaidi sana.....na nikawaza kuwa kweli ni halali yake kufa vitani....kumbe wametuzuga na kumpandisha chati marehemu....mzinzi
 
Aiseeee.....mm nikasema kama mwanamke mwenyewe ndo yule Barlow alikuwa na haki ya kumsindikiza saa nane za usiku..
 
Back
Top Bottom