Usanii wa kutupwa bungeni wanapopitisha finance bill

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,598
3,671
Kuna haja gani ya kujadili finance bill ndani ya Lisaa limoja bila majadiliano ya kina eti kisa wanawahi kumaliza Kabla ya saa 12, huu ni upuuzi kiwango cha juu sana , kwa nini wasiendelee kesho ili finance bill ipate Muda wa kujadiliwa kwa kina. Kwa taarifa tu finance bill ndo inatoa muongozo wa makusanyo ya kodi mbali mbali na hivyo kuipitisha haraka haraka kuna vitu vinafunikwa na vitawaumiza wananchi
 
Ndo ujue hatuna spika, bunge linajiendesha!! kazi ya spika ni kuwakalisha wabunge wa upinzani na kuwalinda vilazas serikalini, karne ya 21 bado unaendesha mambo kama uko mwaka 1985! Mama Makinda amekuwa ndani ya serikali muda mrefu mno, wanatakiwa wapumzike hawa wazee hawana tena ubunifu isipokuwa ni kutumia uimla tu ambao hauna tija kwa taifa na watanzania walio tayari kujenga nchi yao lakini viongozi ndiyo wanawazengua kweli.
 
Dawa yao ni kuwapiga mawe tu hawa wakipita mitaani hakuna kilichobaki. Wanauzdhi sana haya. !@#%^&*()
 
hivi huu upuuzi wa ndiyooooooooo utaendelea hadi lini? mbona wabunge wetu wanafanya mambo kama wapo miaka 1940? kwa nini hata watu wasisimame wakahesabiwa!
 
Wapuuzi hawa angalia sasa mama makinda anavyo lazimisha kura ........................
 
ona sasa haya mabunge kutoka gambazi party yanavyokubali na kupitisha kifungu kinachotaja ongezeko la2% kama ongezeko la kodi ktk vocha kwenye makampuni ya simu kutoka 10% hadi 12% ambapo kimsingi yanamgusa mtanzania mtumiaji wa chini wa mawasiliano hayo ya simu huku wakiipuuza hoja ya mh.wenje ambaye alipendekeza kuwa ibaki 10% na kuitaka serikali iweze kuyatoza kodi makampuni ya mawasiliano yasiyolipa kodi kufidia pengo hilo.haya sasa mliotuchagulia wabunge gambaz oneni yanavyotukandamiza sisi walalahoi!!!!
 
Kuna haja gani ya kujadili finance bill ndani ya Lisaa limoja bila majadiliano ya kina eti kisa wanawahi kumaliza Kabla ya saa 12, huu ni upuuzi kiwango cha juu sana , kwa nini wasiendelee kesho ili finance bill ipate Muda wa kujadiliwa kwa kina. Kwa taarifa tu finance bill ndo inatoa muongozo wa makusanyo ya kodi mbali mbali na hivyo kuipitisha haraka haraka kuna vitu vinafunikwa na vitawaumiza wananchi
Na vitatuumiza sana si mchezo
 
Hivi na nyinyi wapinzani na Ccm wa aina filikunjombe au mpina kwanini hii sheria ya kupiga kelele ndiooooooooo mliotungiwa na wakoloni msiibadilishe kwanza yani hata leo mkoloni akirudi atawatandika viboko maana sheria alotumia kuminya demokrasia ya waafrika wachache bungeni ndo hiyohiyo mnayoitumia kuumizana wenyewe sasa kwanini asiwaone pakapori tu.
 
ndo shida ya spika alipata hicho cheo kwa kigezo cha kua mwanamke. mpaka sasa ameonyesha kazi haiwezi kabisa. bora mzee sitta kidogo alijitaidi.
 
Ingekuwa wewe ungefanyaje, kama kigezo cha kuchaguliwa kwako kilikuwa jinsi??????????????????
 
Kuna haja gani ya kujadili finance bill ndani ya Lisaa limoja bila majadiliano ya kina eti kisa wanawahi kumaliza Kabla ya saa 12, huu ni upuuzi kiwango cha juu sana , kwa nini wasiendelee kesho ili finance bill ipate Muda wa kujadiliwa kwa kina. Kwa taarifa tu finance bill ndo inatoa muongozo wa makusanyo ya kodi mbali mbali na hivyo kuipitisha haraka haraka kuna vitu vinafunikwa na vitawaumiza wananchi

Ni udhaifu wa wabunge wetu tu, kwani hiyo bill wamepewa leo kusoma? kwani hawajaviona hivyo vitu? Badala ya kuwajibika jioni wakae chini (vyumbani mwao hotelini) na kusoma makabrasha ya kesho, utawakuta wanajirusha tu mitaani na vidosho!
 
Back
Top Bottom