Usanii wa Kikwete na Pinda Gongo la Mboto. Kwanini Ikulu Haikujengwa G. la Mboto?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
bomu-msafara-jk.jpg

Kikwete Aingia Gongo la Mboto kwa Ufahali na Mali ya Watanzania

RAIS%2BJakaya%2BKikwete%2Bakizungumza%2Bna%2Bwaandishi%2Bwa%2Bhabari%2Bbaada%2Bya%2Bkukagua%2Beneo%2Bla%2Btukio%252C%2Bkambi%2Bya%2BJWTZ%252C%2BUkonga..JPG

Kikwete Kama kawaida anaropoka kwa Watanzania. Ripoti ya Mauaji Mbagala Iko Wapi?

_51307977_kikwete_ap.jpg

Kikwete Anataka Picha Nzuri ya Gazeti ili Wananchi Wafiriki Anawajali. Kama Unawajali, Ripoti za Mbagala, Richmond, EPA, Dowans Zipo Wapi?

Tuanangalie Wananchi Sasa Wanapoumia kwa Utawala wa CCM. Hizi Picha hazikuwa "Stage" Hivi Ndivyo Wanaishi Kila Siku
Regina%2Bmlawa.JPG

gongo-la-mboto.jpg

Gongolamboto.jpg

CCM Mnamajibu? Mwisho Wakaribia
 
Kuna mkazi wa g/mboto alikuwa anaulizwa maswali kwenye redio jana kasema inakaribia wiki toka nyumba yake iteketee na hajapata hata hema analala nje na familia na kadai mpaka j4 kama hajapata msaada wowote ataipeleka familia ikulu wakaishi huko kwakuwa ni mali ya watanzania wote,yeye hawezi kulala nje na familia huku mkulu akilala kwenye A/C huku nyumba yake imebomolewa kwa uzembe wa serikali.
 
Kweli akikaa hapo akisubiri wamletee hatawaona hata chembe, inabidi awafuate huko waliko! Mkulu mwenyewe anakula nchi nje... taabu ya nini, he must enjoy as much as possible, maana hii ndo term yake ya mwisho!
 
Tukipata wabishi mia kama huyu inabidi watawala wabadilike au waonje joto la jiwe i love his thinking.
 
Hivi ni kwamba hakuna mtu ambaye anaweza ku-organize demostrations kupinga yanayoendelea nchini mwetu jamani??? Upinzani wana nafasi kubwa sana katika kuleta mabadiliko ndani ya nchi! Au ndo wanaogopa watauwawa na police kama ilivyotokea Arusha.
 
Kuogopa kufa ni kukubali kuishi kama panya si umeona hata mauaji yana kikomo Misri baada ya kufa mia 600 wanajeshi wakagoma na Libya jana wanajeshi wamekataa kuua raia na wameungana nao.
 
Wewe unajiuliza kwa nini ikulu haijajengwa ikulu wewe kwa baba yako hajajenga gongola mboto
 
akuna nilipoboreka kama pale waathirika walipokimbilia uwanja wa uhuru badala ya kwenda viwanja vya ikulu ingeleta maana na msaada ungepatikana haraka zaidi maana ba ridhiwani akitaka kutoka angeshindwa watu wamelala nje uku wanaimba tumechoshwa na mabomu yako
 
Na sasa hivi kakimbilia Mauritania kupigwa upepo mwanana wa Bahari ya Atlantic wakati watu Gongo la Mboto wanalala nje!
 
Kuogopa kufa ni kukubali kuishi kama panya si umeona hata mauaji yana kikomo Misri baada ya kufa mia 600 wanajeshi wakagoma na Libya jana wanajeshi wamekataa kuua raia na wameungana nao.

Kuna gharama kwenye kutafuta uhuru...inaonekana watanzania hatuna huo uzoefu! Nyerere alipata uhuru kwa kuongea, naona ametuambukiza na sisi, tuna maneno mengi, kutenda hakuna!!!
 
akuna nilipoboreka kama pale waathirika walipokimbilia uwanja wa uhuru badala ya kwenda viwanja vya ikulu ingeleta maana na msaada ungepatikana haraka zaidi maana ba ridhiwani akitaka kutoka angeshindwa watu wamelala nje uku wanaimba tumechoshwa na mabomu yako

Mkuu na wewe si ulikuwa mmoja wa waathirika mbona haukuonesha mfano?
 
hii mpya lakini km Mr K angeenda na bajaji au guta likalipuka kingine ingekuwaje? Bora kajiendea na gari letu
 
akuna nilipoboreka kama pale waathirika walipokimbilia uwanja wa uhuru badala ya kwenda viwanja vya ikulu ingeleta maana na msaada ungepatikana haraka zaidi maana ba ridhiwani akitaka kutoka angeshindwa watu wamelala nje uku wanaimba tumechoshwa na mabomu yako

wangepigwa mabomu!
 
kuna mkazi wa g/mboto alikuwa anaulizwa maswali kwenye redio jana kasema inakaribia wiki toka nyumba yake iteketee na hajapata hata hema analala nje na familia na kadai mpaka j4 kama hajapata msaada wowote ataipeleka familia ikulu wakaishi huko kwakuwa ni mali ya watanzania wote,yeye hawezi kulala nje na familia huku mkulu akilala kwenye a/c huku nyumba yake imebomolewa kwa uzembe wa serikali.

kweli kabisa.

Kuna mkazi wa g/mboto alikuwa anaulizwa maswali kwenye redio jana kasema inakaribia wiki toka nyumba yake iteketee na hajapata hata hema analala nje na familia na kadai mpaka j4 kama hajapata msaada wowote ataipeleka familia ikulu wakaishi huko kwakuwa ni mali ya watanzania wote,yeye hawezi kulala nje na familia huku mkulu akilala kwenye A/C huku nyumba yake imebomolewa kwa uzembe wa serikali.

Yule jamaa niliewaeleza j3 kapelekewa hema,magodoro na chakula,kumbe ubishi saa zingine unasaidia.
 
Asante kwa taarifa Uporoto1...... haki haipatikani kwa kusubiri, something must be done. Hata ufalme wa mbinguni unatekwa na wenye nguvu....:decision::decision:
 
Back
Top Bottom