Usanii wa ewura; petr/diz 2040-1840 kuanzia keshokutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usanii wa ewura; petr/diz 2040-1840 kuanzia keshokutwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Uwii
  mi nasema nyie mnaomaliza huko elimu zenu bakini huko huko msije kutukana wazazi wenu kwa nini waliwazaa
  tanzania kumbe mnatukana na babu nabibi zenu waliwazalia wazazi wenu....jamani hiki kituko nimesikia asbh ya magazeti
  ewura wametangaza mafuta kushuka kuanzia keshokutwa kutokana na tuzo sijui tunzo wanajua wao kupunguzwa
  kuanzia 2040-1820 sasa nikacheka hapa wamemsaidia nini mtanzania
  hivi mkkulo una aakili kweli mnawatolea kodi kubwa tu alafu wanakuja kuuza bei ya kihuni na kipumbavu hivi
  watanzania mkitaka mafuta ya pungue tunaweza na kwa njia zenye akili tu..hata huu mgomo nawambia tukiamua
  basi imetosha tunaweza huu ni mpango wa ngeleja na familia yake kuuza majenereta yaliomwagwa bandarini
  iezi kadhaa iliopita na kuhahalisjha symbion

  tumechoka jamani hawa washenzi wanatunyanyasa hivi ifike wakat tuseme basi
   
Loading...