USANII wa 3% ya TRA

Daniel Mjema

Member
Jul 23, 2007
77
84
Hivi kwanini TRA wanatoa matangazo kuwa atakayesaidia kufichua mkwepa kodi na TRA ika recover kodi iliyokwepwa atapewa 3% ya pesa iliyokombolewa wakati ukweli ni kwamba TRA
20160414_135819-1.jpg
haitoi zaidi ya 20mil hata kama ulifichua 20Bil?
 
Ipo sahihi, labda elimu haikutolewa vizuri. Ila nakubaliana na hicho kima, kama kweli tu wazalendo
 
Hivi wakati wanaweka hiyo 3% kweli hawakujua kwamba inawezekana mtu akifichua ukwepaji kodi wa mabilioni? ! Usanii usanii kila mahali. I hate this
 
Bil 7, ilitakiwa wampe mapema hata hizo milioni 20. Maana amerisk maisha yake. Jamaa wakimtafuta askari wakampa milioni 10 awatajie jina tu unafikiri uwezekano wa kumjua ni mdogo? Mtu anaweza kuuliwa. TRA waangalie utaratibu wao ili kuwapa motisha wananchi kutoa ushirikiano
 
Back
Top Bottom