GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,099
Kama umewahi kuhudhuria interview utakubaliana na mimi kuwa huko kumejaa ujanjaujanja sana sana
Kuna kazi unajua kabisa mpo ofisi moja na hicho cheo ameshaambiwa mtu fulani utakaimu na baadae hupewa barua kabisa kuwa yeye ndie bosi, Kituko kina kuja pale baada ya mwezi unakuta tangazo kwenye the Guardian na Dailynews eti wanahitaji mtu kwa kazi husika wakati ofisini mlishapandishana vyeo,
Unasafiri maelfu ya kilomita na kupoteza nauli huku watu wa panel walishamteua mtu tayari
Interview nyingi ni za usanii sana hasa kwenye mashirika na Taasisi fulani siwezi kuzitaja hapa ,Kuna siku nilikabidhiwa kitengo fulani na nilichaguliwa kutokana na kuwa mzee wa kuziba viraka najua wengi huko private mnajua kuziba kiraka ina maana gani kwa ufupi kuziba kiraka ni kupiga kazi yeyote ofisini isiyokuhusu kama muhusika hayupo au anadharula, Ghafla nikiambiwa barua yako hii hapa wewe ndie kazi yako sasa lakini tunaita interview next two weeks ,Siku ya interview jamaa walikuwa wanajisifia na vyeti vyao kumbe Mimi tayari nina barua, Huko kwenye interview muda wangu ulipofika ilikuwa ni kupiga story na panel za hapa na pale kuhusu kuwafundisha zaidi vijana wageni.
Kabla ya kuomba kazi umakini ni muhimu sana kuna Taasisi moja hivi huko wanaajiri ndugu za wafanyakazi sio lazima ndugu wa damu hata marafiki wa hao ndugu ndio hupewa nafasi kwanza, Nilienda siku moja nikaonana na Head of Human resouce and Adiministration nikaongea nae mengi sana kichekesho akaniuliza unayemtafutia kazi ni nani yako? nilishangaa sana baadae nikamwambie jibu tofauti kuwa ni Fresh from school akanipatia maswali ya interview wanayouliza na majibu yalikuwa maswali 10 yanaulizwa na Panel ya watu 5 kila mtu ana maswali mawili tu kuanzia yeye HR pamoja na External interviewers 2.Kuna mengi yanaendelea huko kwenye interview
Unaweza fanya interview kumbe hakuna kitu hapo kikubwa usikate tamaa