Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

Taja nchi yoyote isiyolipa kodi duniani? Hata kwenye nyumba za ibada unalipa tozo a.k.a sadaka.
Sina muda wa kuelewesha maana ya Kodi Kama huelewi.

Kulipa sadaka unalazimishwa au unatoa kwa hiari? Usipotoa sadaka Ibadani kuna mtu anakuuliza??!!
 
Sina muda wa kuelewesha maana ya Kodi Kama huelewi.

Kulipa sadaka unalazimishwa au unatoa kwa hiari? Usipotoa sadaka Ibadani kuna mtu anakuuliza??!!
Huna muda au , empty set mukichwa? Unaendeshwa na upepo wa mazwazwa wa chadema 😂😂😂pole sana .
 
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.

Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?

View attachment 1899774
Waliposema 'connection fee' iwe 27,000 tu, sasa nimeelewa lengo lao.

Kuna jamaa yangu ana nyumba yake ya kupangisha (double room 5), aliposikikia huu unafuu wa kuunganisha umeme akaenda kuweka mita mpya kwa kila mpangaji.
Maana yake hiyo nyumba moja ina mita tano zinazotambulika na Tanesco. (12,000×5)
 
Mama anaendelea kuwapiga watanzania nyundo za kichwani.

delea
FB_IMG_1629469444600.jpg
 
Back
Top Bottom