Usaliti wenye manufaa


BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
427
Likes
3
Points
35
BABA JUICE

BABA JUICE

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
427 3 35
Namshukuru mungu kwa kipindi hiki kwani imetuonyesha nani ni wakweli katika chama. Usalitii wa bwana zitto umeonyesha katika chama kuna watu ambao huwafuata watu na si itikadi ya chama na ukombozi wa taifa hili kutoka katika mikono ya wabinafsi,wezi na wasiojali utaifa na raslimali za taifa hili..kama mwanachama wa chadema naamini maendeleo ya kweli ya kitaifa yataletwa na chadema na si chama kingine chochote..ni miaka 50 na ushee toka nchi hii ipate uhuru naamini tumeshakuwa naviongozi wazuri waliojali maslai ya taifa hili kutoka ccm lakini kwasasa siamini wala sina matumaini kama ccm inaweza kutoa kiongozi dhabiti mwenye kujali maslai ya kitaifa....nategemea kuona baadhi ya wanachama waliorubuniwa au walio na maslai yao binafsi kuondoka chadema,naamini kwa moyo wangu wote chama si mtu mmoja bali wanachama....chadema kitaendelea kuwa chama imara na hakita tingishwa na chama chochote hadi siku tulete ukombozi wa kweli katika nchii hii...kama kuna mtu anataka kuondoka chadema aondoke kwani ulikuja kwa hiari na ondoka kwa hiari bora wachache wenye moyo dhabiti kuliko wengi vigeugeu.

viva chadema viva
 

Forum statistics

Threads 1,250,646
Members 481,436
Posts 29,740,402