Usaliti wa kuangalia porn- wivu wa kwenye video!

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Wanawake wengi huwa na matatizo na wanaume waangalia porn, hawapendi kuona wenzi wao kuwaona mademu bomba wakiwa uchi ktk tv au comp. Embu fikiria umemkuta mumeo kajificha anachek porno? Mkanganyiko huu unatokana na mume na muke wenyewe na maono yao. Wanaume tunaona porn ni njia ya kuona mademu bomba wengi bila kucheat. Lakini wanawake wengi wanaona porn ni cheating. KWANINI ASIKUCHEKI WE DEMU WAKE MKIWA BED?- anaweza kufanya hvyo wakati wowote so hamna umuhimu! Wanawake mnatakiwa kujua si kwamba tu ,midume tunacheki ngono kila siku usiku, lakini hata sasa hivi na muda wowote tunapokuwa bored. Na ukweli tunapoangalia mademu uchi internet tunachek mademu mbalimbali na tofauti tofauti wakati wote. Madem wanatakiwa kujua wanaume weng tukiwa bored tunachek pono, kama tupo busy hatuna time na hii kitu. Mtu akimalza vishuli vyake ktk laptop huyo anaanza kuchek ngono. Ni raha kuchek mademu wakiwa uchi wakifanya ujinga mbali mbali. Tukumbuke sex inaumuhmu wake na raha yake si kama ya porn. KWANINI WANAUME TUNACHEK PORN? 1.kuona makalio, matiti, etc. Wanawake wanaweza kuona kuwa matiti ni matiti na yote yako sawa, ila vitofauti vilivyopo ndo vinatufanya tuzidi kuziona hzo aina mbambali za pea za matiti na chuchu zake. 2. Kujifunza maujanja kitandani. Pia tunachek sababu tumeanza chek toka tuko singo. Kama unamaindi kivyako 3.punyeto tamu. Wanaume wengi mademu wetu wa zamani ni mkono. Ni raha kucheki mademu wakiwa uchi uku unapiga punyeto 4. Sisi wanaume tuna kihulka. Kila tumwonapo demu mkali na mzuri ,cha kwanza kinachokuja kichwani ni je uko chini pake pakoje?ndani ya chupi yake hasa. Kwa mfano hawa tunapowaona hawa macelebrity wakali ,wapo sex, wengi tunaenda internet google kusearch nude pic zao. Tunataka kuona anaonekanaje" JE MWANAMUME WAKO AKIWA ANAANGALIA NGONO , ITADHURU UHUSIANO WAKO? Majibu ni ndio na hapana: HAPANA- interest ya porn kwa wanaume haina uhusiano na mapenzi yenu. Walianza kuangalia toka wako single, na sasa anaangalia ukiwa umelala. Kwa wanaume hawachukulii porn kuwa ni kucheat. Chukulia tu hi hobby yake aliyokuwanayo kabla ajajua K org. JE ANAWEZA KUKUFANANISHA NA WALE ANAOWAONA KTK PORN- halipingiki lazima atakukompea wewe na favourate pon star wake, usiwe na shaka hata akikukompare, akili ya wanaume imekuwa tune kuona kile anachokiangalia sio real. NDIO- Ndoa nyingi zimeingia ktk matatizo sababu ya porn. Mume ampi sex mke wake kwa sababu mbalx2 kama kuchoka, kutokuwa na hamu lakini wakati huo huo huyo mume huwa anaangalia porn na kupiga punyeto, haoni tena umuhmu wa mke, mana anatoshelezwa na walf wengi anaowaona. MJUE SISI WANAUME HATUONI KAMA PORN NI KUCHEAT. Wanawake huwa wanapenda sana romantic movie miaka 800. Na anapata feelings za ma actors na affection zao ,anaenjoy muv lakini aimaanish amefall kwa huyo actor. And that is the same thing with men an porn. USHAURI- Sasa ushajua kwanini bwana ako anaangalia porn , tulia na usiwe na wasisi , ile ni muvi tu na hzo pair za chuchu anaziadmire kucheki. Mwisho wa siku we ndo mwanamke mzuri kwake na wamaisha yake ndo mana mnashea bed moja. TOA YAKO MAONI?
 
mhm hapa kusema kweli kwenye porn mie naona wanaume tunahalalisha tuu lakini ukweli ni kwamba porn is cheating. sasa kama wewe unasema wampenda huyo demu wako y uangalie demu mwengine akiwa anapigwa miti?
 
kama nakuona vile ulivokuwa unaandika kwa mahisia!yani mbona kazi tunayo humu!
 
Porn kwa kwelli ni cheating inside urself kwani mtu anamuwaza mtu mwingine kabisa aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hivi Sindbad nae atakuwa amewahi kucheki porn? Vipi kuhusu demu wake wa kwanza alikuwa mkono?
 
nikiangaliaga porn malaria inapanda kichwani. So naiogopa sana.
 
Hiyo ni kurefresh tu na kujifunza mambo mengine no cheating hapo, ndo maana kuna lovers guide.
 
Porn ni mbaya sana, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. Tusidanganyane wandugu. Yoyote anaeangalia porn ninamshauri aache kabisa.
 
generally, hii kitu ni mbaya . Porn is a drug that leads to addiction, it exploits ua gd time ambayo ungeitumia kujiletea maendeleo. yale unayoyaona kwenye porn utapenda partner wako akufanyie, akishindwa maugomvi yaanza. Not only that, porn turns sex into masturbation, imagine hili linatokea ktk ndoa. Mimi nafikiri mwanaume anayependa kucheck porn ataishia kupiga punyeto, na furaha yake itakuwa ni hako ka-addictive game, atamsahau mke wake, hatamhudumia au atafanya below standards. Mke naye kwa kukosa hiyo huduma ambayo kimsingi ni haki yake aweza kufanya jambo lolote, anaweza toka nje ya ndoa to quench her thirst. Assume this is happening for …….. marriage breakdown is just a few years down the road! Anyway, ni mtazamo wangu
 
generally, hii kitu ni mbaya . Porn is a drug that leads to addiction, it exploits ua gd time ambayo ungeitumia kujiletea maendeleo. yale unayoyaona kwenye porn utapenda partner wako akufanyie, akishindwa maugomvi yaanza. Not only that, porn turns sex into masturbation, imagine hili linatokea ktk ndoa. Mimi nafikiri mwanaume anayependa kucheck porn ataishia kupiga punyeto, na furaha yake itakuwa ni hako ka-addictive game, atamsahau mke wake, hatamhudumia au atafanya below standards. Mke naye kwa kukosa hiyo huduma ambayo kimsingi ni haki yake aweza kufanya jambo lolote, anaweza toka nje ya ndoa to quench her thirst. Assume this is happening for …….. marriage breakdown is just a few years down the road! Anyway, ni mtazamo wangu

Safi sana

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom