Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,638
- 218,073
Emmanuel Laizer aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Shabaha kwa tiketi ya Chadema kutokana na uchaguzi wa 2014 , na baadaye kusaliti na kujiunga na ccm kisha kurudishwa tena kwenye uenyekiti kupitia dirishani , amepata malipo yake baada ya kuangukia pua kwenye kura za maoni dhidi ya mpinzani wake Mosoka Singo .
Chanzo : Nipashe
Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.
Endeleeni kutega masikio yenu .
Chanzo : Nipashe
Angalizo :Tunaandika haya kutokana na sarakasi nyingi mno za jimbo la Hai baada ya dagaa wa siasa kudhani anaweza kummeza Nyangumi.
Endeleeni kutega masikio yenu .