• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Usaliti ni dhambi inayokubalika kwa maslahi binafsi tu

F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,391
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,391 2,000
Je n masilahi gani wasaliti hawa wamepata???

Usaliti ni dhambi ambayo kimsingi hakuna mtu ambaye yuko tayari kuivumilia isipokuwa iwapo anafaidika na uvumilivu huo au anafaidika moja kwa moja na usaliti huo, hivi karibuni usaliti unozungumzwa ndani ya cdm ni hoja ambayo inapaswa kuchulikuwa hatia kali huku uchunguzi ukiendelea ili kujiridhisha zaidi. Usaliti na wale wanaotetea usaliti lazima ni pandikizi, tukumbuke sifa ya usaliti ndani ya chama au serikali hauwezi kufanyika na mtu mmoja, ni wazi kuwa wasaliti hawa wanamtandao mkubwa ndani ya cdm na ni kweli watayumbisha chama kwa muda tu, maana usaliti una sifa hiyo, ni kwa muda tu.

CDM inaombwa kuwa makini wakati huu ambao usaliti na wasaliti wako wanajipambanua. TUWVUMILE WAONDOKE WOTE, ni muhimu wake wote. TUSIVUMILIE HATA MSAILITI MMOJA IWAPO ATAFAHAIMIKA. TUWARUHUSU WAFUASI WA MSALITI watoe matmko harafu waende tutakuwa tumeshinda vita hiyo.

Mwanza haina sifa za usaliti na hivyo TUNAUNGA MKOONO KWA DHATI KAMATI KUU

Nawasilisha
 

Forum statistics

Threads 1,404,393
Members 531,585
Posts 34,452,506
Top