Usaliti kwa Wakuu ni Human Behavior-Tusishangae ya EL na JK

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,369
9,746
Hii kitu Niliisikia japo kwenye Tamthilia ila nikaitafakari na nikaona ina kaukweli fulani
Prof alisema:-

Yuda alimsaliti Mwalimu wake Yesu... Akamuuza kwa Vipande 30 vya Pesa.

Aristotle na plato

Samson alisalitiwa na Delilla.

Bill gates na Steve Job n.k
Hizi ni Tabia za binadamu kabisa tena unakuta mtu ana rafikie mkubwa sana wa kama pete na kidole lakini siku ikifika anatoswa mbaya...

Kwenye siasa zetu nazo ndio zimeingia na huu usaliti mkuu tena kwa sasa umefikia usaliti ule wa kimakusudi..

Jk alimsariti E.L

Na sasa E.L amesaliti J.K hata kupokea simu aligoma... japo tuliambiwa kuwa urafiki wao haukuanzia barabarani ila kwa sasa tumeshafahamu.

Kuna Matukio mengi sana Duniani yametokea na kurekodiwa na mengi hayajarekodiwa naamini hata wewe msomaji hapo ushawahi msaliti mtu iwe mpenzi au rafiki.

Waweza ongeza watu waliowasaliti wenzao .

Mpaka njia na Amina.

Zitto na ...

Hamad Rash na Maalim

Lamwai naye
 
Hii kitu Niliisikia japo kwenye Tamthilia ila nikaitafakari na nikaona ina kaukweli furani..
Prof alisema:-
Yuda alimsaliti Mwalimu wake Yesu... Akamuuza kwa Vipande 30 vya Pesa..
Aristotle na plato
Samson alisalitiwa na Delilla
Bill gates na Steve Job n.k
Hizi ni Tabia za binadamu kabisa tena unakuta mtu ana rafikie mkubwa sana wa kama pete na kidole lakini siku ikifika anatoswa mbaya...

Kwenye siasa zetu nazo ndio zimeingia na huu usaliti mkuu tena kwa sasa umefikia usaliti ule wa kimakusudi..

Jk alimsariti E.L
na sasa E.L amesaliti J.K hata kupokea simu aligoma... japo tuliambiwa kuwa urafiki wao haukuanzia barabarani ila kwa sasa tumeshafahamu..
Kuna Matukio mengi sana Duniani yametokea na kurekodiwa na mengi hayajarekodiwa naamini hata wewe msomaji hapo ushawahi msaliti mtu iwe mpenzi au rafiki..

Waweza ongeza watu waliowasaliti wenzao
Mpaka njia na Amina
Zitto na ...
Hamad Rash na Maalim
Lamwai naye
Mlaleo niwie radhi lakini ulikuwa unajaribu kutengeneza post nzuri lakini sijui imekuwaje ukashindwa
 
Last edited by a moderator:
Mlaleo niwie radhi lakini ulikuwa unajaribu kutengeneza post nzuri lakini sijui imekuwaje ukashindwa
Aidha alitaka kuuma na kupuliza au alitaka asiuchukize upande wowote jambo ambalo ni gumu kwa hapa tulipofikia yaani mwisho utaishia kutoeleweka tu.
 
Last edited by a moderator:
JF ikasaiti....
CUF ilisaliti cdm
Cdm ilisaliti ccm
Ccm ilisaliti cdm CUF ncr ...
 
Mimi nlisalitiwa na mshikaji wangu nliempiganie awe Rais wa CHUO, na akawa! Yale makubaliano yetu yote alitupa kule!
 
Mimi nlisalitiwa na mshikaji wangu nliempiganie awe Rais wa CHUO, na akawa! Yale makubaliano yetu yote alitupa kule!
Huna tofauti na Lowassa brother, tenda wema nenda zako...
Pole sana.
 
Back
Top Bottom