Usaliti haufai

foshizzle

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
374
147
Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti.
Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti mpenzi wako ili uishi maisha marefu yenye furaha.
 
Unajidanganya weye, cheating haipo mbinguni....
hapo hapo ulipo cheat as much as you can ila usisahau ukimwi upo!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom