Usalama wa taifa=Usalama wa CCM=Maangamizi kwa Upinzani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa taifa=Usalama wa CCM=Maangamizi kwa Upinzani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mabadilikosasa, Jun 8, 2011.

 1. m

  mabadilikosasa JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wana JF. Kuna article moja nimesoma kuwa usalama wa taifa wamesomea zaidi jinsi ya kudhibiti upinzani nchini zaidi ya jinsi ya kulinda usalama wa taifa. Wapinzani wawe makini sana na simu zao, makazi yao, mipango yao, na maisha yao. Usalama wa taifa ndo chanzo cha kuua democrasia na kukandamiza haki tanzania. Tuwe waangalifu na mtu yeyote anayeitwa usalama wa taifa, yupo zaidi wa maslahi yake mwenyewe na kuilinda ccm pamoja na wezi wake
   
 2. M

  Msakwa Chimagai Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hakika umenena. Hao jamaa wako kulinda mifisadi ya mali zetu na chama jeuri cha magamba. Yafaa kukaa chonjo.
   
 3. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kumbe ulikuwa huji, unapozungumzia taifa ni hawa mafisadi. Wewe nani atakujua?
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  I hate them,wangesaidia kuokoa rasilimali za taifa but wamekua mbwa wa watawala,na visut vyao
   
 5. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi wala siwaogopi sana maana hawa jamaa ni mbumbumbu kupita maelezo. Si wanapeana ajira kwa kujuana badala ya kuangalia uwezo wa mtu.

  Wakati nchi kama Marekani Technology inaanzia vyombo vya usalama kama Department of Defence DoD kwetu Technology inaanzia kwa Wahindi. Hawa jamaa wa usalama wa taifa wala hawapo kabisaaa...

  By the way, kuwaita "Intelligence" kwa hapa Tanzania ni makosa makubwa kabisa ... bado Technologia waliyo nayo ni ya simu ya upepo ...
   
 6. A

  ADAMSON Senior Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaaaa wameacha kazi yao ya msngi eti
   
 7. e

  ebrah JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mhmmmmh kwa tz bado wapo hao watu? mi nadhani hicho kikosi kilishafutwa waliopo wanatumia jina tu, coz wote wanakadi za magamba! na mbaya zaidi kwa historia ya tz wanaonekana kuwa ni watu ambao wapo against wote wanaopinga mabaya yanayofanywa na sirikali, au wale wanaozijua siri za sirikali! ( kumbuka tz hakuna serikali)
   
Loading...