Usalama wa Taifa (TISS) wana maadili, watunza siri na miiko iliyotukuka kuliko maelezo

Tulia mkuu!

Yule bwana nilikuja kumgundua kuwa yupo huko na hadi kesho siwezi kumwambia wala kuonesha kama najua kazi yake hiyo ila yote niliyokuwa nafanya kwake usiku ile nilitaka kujua kabadilika kwa kiasi gani maana namjua sana.
Aaah poapoa mkuu,hapo atleast nimekusoma
 
Bora wasiijue tu hivyo hivyo
Katika kitu ambacho TISS wamekiweza na nitaendelea kuwaogopa ni kutengeneza majasusi wa kike ambao huwezi kuwafahamu. Tofauti kabisa na majasusi wa kiume ambao tunawaona mtaani au wale wa siku hizi wapenda ujiko: Majasusi wa kike zaidi ya wale wa makao makuu, ubalozini na mambo ya nje huwezi kuwajua kabisa. Nina uhakika wako wengi sana lakini leo hii nikisema uwataje hata kumi nje ya kada hizo hapo juu huwezi hata kidogo.

Katika hili TISS wametuweza wanaume wa kitanzania, yaani wametuweza mno. Tena kwa tunavyopenda chini ndiyo kabisaa hawatumii nguvu. Teh teh teh teh kazi sanaaaa.
 
Wamejazwa sana kwenye vyama vya upinzani.

Back
Top Bottom