Usalama wa Taifa (TISS) wana maadili, watunza siri na miiko iliyotukuka kuliko maelezo

Naitaman sana hiyo kazi wakuu.
Kila ufanyacho Ni intelligence Sasa hiyo kazi unayoitafuta ni ipi mkuu? Sema unataka ulipwe mshahara kwa jukumu Hilo, unafanya Intel kwa faida ya familia siyo umma Sasa ukitaka kulipwa wajuvi watakuona na watakutafuta wait sio wewe uwatafute
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
ilikuwa zamani, hawa wa siku hizi hamna kitu, umakini sifuri, kazi yao kujisifia tu ili waonekane, ndiyo maana wanatoa vitambulisho vyao hadi kwenye mabaa, uchafu mtupu. Tatizo wanachukuana-chukuana tu kwa kujuana, tofauti na zamani walikuwa wanachagua vichwa kweli kweli.
 
kama umelipenda lile nigger tuanze kuchangisha mishango ya harusi humu JF.Harusi yenu itakuwa humuhumu jf Mods ndio watawafungisha ndoa
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
Hongera sana walimu ,,,,Katika somo gumu ni kujizuia kucheka,,sababu hili jambo linakuja automatically,,, walinzi wanaokaa nyuma ya raisi sijawahi kuwaona wakicheka,,hata kama umati mzima wa watu utalipuka kwa kucheka..
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
Mkuu
Wewe umemwona huyo mrefu kuwa ndiye mfano wa maafisa wa usalama wa taifa?.
Jitahidi uijue idara siyo kwa kuangalia walinzi ukadhani hiyo ndo sura ya wana usalama wa taifa. Ni sawa na kuangalia askari wa traffic ukadhani polisi wote ni traffic
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
Kwani huyo mlinzi wa raisi ni usalama wa taifa?
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
Umeshamtamani sijui ww ni KE au ME
 
Asante,japo mimi hii kazi nafanya nje ya nchi hata mke wangu hajui nafanya kazi gani
 
Ni ngumu sana kwa Watanzania tulio wengi kuitofautisha TISS na Wasiojulikana...ni kama ilivyo ngumu kuwatofautisha Nguruwe na Nguruwemwitu !!
 
Ni wajinga tu ndio hujivunia kazi za ulinzi.
Mtu unaakili timamu kwanini usifanye kazi zenye tija, badala yake unalinda mtu au kakikundi ka watu.

Wewe hulindwi, ila wewe unalinda wanaume wenzako.

Kuna tofauti gani kati ya TISS na ultimate security ?!

Badala hata ufanye biashara unasifia wajinga wanaokaa matakoni mwa watu.
 
Back
Top Bottom