Usalama wa taifa na uhamiaji mwajua hili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa taifa na uhamiaji mwajua hili??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tanga kwetu, May 6, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Naamini hili ni tatizo katika maeneo yote (nasisitiza yote) ya mipaka yetu... tatizo litokanalo na wenye wajibu mkuu wa ku-monitor haya mambo kulala usingizi wa pono ilihali ni hatari kwa Taifa letu.

  Vijiji vya Horohoro na Perani (mpakani mwa Tanzania na Kenya upande wa Tanga) vinaongozwa na wakenya. Hawajifichi, wanajitambulisha kama wakenya. Ni vijiji vilivyopo ndani ya ardhi ya Tanzania. Kwenye vijiji hivi kuna shughuli nyingi za kuvuna/kuchuma rasilimali za Tanzania na kuvushwa Kenya tena kwa support kubwa ya hao viongozi wao wa vijiji na kata waliowekwa strategically na wakenya. Oooh, poor sleeping giant my country!!!

  Maafisa wa idara ya uhamiaji hapa mjini wapo bize kuzungukia kwenye guest Houses na Hotels kusaka wahamiaji haramu na kula rushwa tu.

  TISS na uhamiaji angalieni vijiji hivi.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  Tanzania is dying slowly, usalama wa taifa wameridhika na nguo za bure, sasa wamelala fofofo
   
 3. HekimaMoyoni

  HekimaMoyoni Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni wachache serikalini wanaofanya kazi kwa umakini na kujituma.
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nazjaz!...'Nguo za bure zinauhusiano gani na utendaji! Beside huoni km kwa kutoa taarifa ni msaada tosha kwa mamlaka kuchukua hatua stahiki badala ya kukaa pembeni na kulalama tu?
   
 5. L

  Lughe Senior Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  The smell of the fruits of the Poor Governance!

  Na ndio hapo nyie mujiulize why Kenyan's are so positive and faster in forming East African Federation slowly called New East Africa Community.This because the only reason they want easy for them to exploit Tanzanian's resources under that umbrella.

  How many times they even use Mt.Kilimanjaro advertising as a tourist attraction in Kenya. At the same time presida have made trips abroub and without fear backing finding and advirtising Tanzania tourist attractions abroad.

  Fuc.....dead while alive ..srt.it sad even speaking about!
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Mkuu wa wilaya na viongozi wengine wamelala tu? Kama una full data hebu peleka hii habari kweye magazeti waitoe pia.
   
 7. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Uzembe wetu wananchi wa kutokuthubutu ndo unaotuua. Kwani wewe umeshawapelekea hizi taarifa hao uhamiaji wakaacha kuzifanyia kazi? Kama hujafanya hivo unawalaumu nini? wewe ni sehemu ya tatizo
   
 8. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hata humu humu Jf wakuu wapo!wanaingia na Id za ajabu ajabu!ila wapo humu humu!utaona kesho wak act!usisite kuja kutuhabarisha wana Jf!JF ipo juu bandugu!
   
 9. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo lenyewe hata raia wanapo toa taarifa uhamiaji inakuwa ni kwa ajili ya kwenda kuvuta mpunga na mtoa taarifa anakua kama dalali
   
 10. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  tatizo hapa siyo wakenya au wa taifa lolote jengine ishu ni kwamba jee wewe uliyowaona hao wageni unafahamu taratibu za kiuhamiaji.
  siyo kila mgeni ni mgeni wengine wana uraia na wengine wana vibali vya kuishi. jee hao viongozi unaowasema ni wakenya au wana asili ya kenya? kuna vitu vya kujifunza hapa. ni sawa na vurugu za mwanza wakavunja maduka ya wahindi na mali nyengine kumbe wote walikuwa nia watanzania.
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tanganyika mmekuwa kama samaki sasa mwalana wenyewe kwa wenyewe
   
 12. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Kumbe zile safari suits zao zinanunuliwa na kodi yetu????
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  cha ajabu ofisi nyingi za uhamiaji-maofisa uhamiaj wamevaa koti tu la uafisa uhamiaj-ila ni usalama wa taifa-wakiwemo wa hapo tanga-nashangaa wapo tu wanazembea
   
 14. P

  Peter bedson Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo usalama wa taifa wa nchi hii wako kwa ajili ya kuzibiti wapinzani hilo ndilo wanalijua, nilikwenda congo mwaka kikazi nilikaa miezi nane wako makini kuanzia unapoingia kibali cha kazi, wanafuatilia unavyoishi muda wote sio kama hapa tz
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nchi imewawia kubwa si ulisikia hata JK akiwaambia viongozi wa CC-Magamba kwamba enzi za akina Kingunge hawakuwa na magari lakini waliweza kuzunguka kila mahali lakini sasa hivi watu wanapewa ma-VX na V8 lakini hawawezi kuzungukia wananchi. Nchi imebaki mijini kwa sasa.

  Suala la hivi vijiji vya mipakani kuongozwa na wakenya sio mara ya kwanza kusikia kwani ukweli ndio huo. Hebu nenda lake Natroni kule ndo utacheka kabisa kwani hata fedha inayotumika ni ya Kenya na hata pikiiki nyingiza kule zina namba za Kenya. Kuna njia nyingi za panya kule za kuingia na kutoka TZ na kuna waTz kule wanafanya kazi Kenya kupitia mle na mahitaji yao yote wanapata Kenya.
   
 16. t

  tshaka Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Taarifa naamini zimeshawafikia,tatizo pia raia wanawaogopa sana TISS,ofisi zipo kwa ajili ya wananchi wote,ruhusa kupeleka taarifa yoyote kwao kwa ajili ya upelelezi na uchunguzi wa kina.
   
Loading...