Usalama wa Taifa mmeshapandikiza hata Rais mmoja miongoni mwa nchi zinazotuzunguka?

TISS fanyeni kazi ya kuipaisha nchi kiuchumi.Nyerere alitumia usalama wa Taifa katika harakati za ukombozi wa mtu mweusi kusini mwa jangwa la sahara na nyie tupaisheni kwa kuipigania nchi kiuchumi kupitia majirani wanaotuzunguka
wacha kukariri maisha
usalama wapo kulinda maslahi ya nchi sio kuchagulia nchi jirani Rais,inapobidi inaweza kufanya kama ni kwa usalama wa Tanzania tu
Ila waulize wazee wakupe habari ya Joyce Banda alivyopoteza urais,hajaamini mpaka leo,na upate pia calculations zilzomsimika Emmerson Dumbuzo Mnangagwa madarakani ndio utajua Tiss ni shirika lingine kabisa
 
Kuandika ni rahisi sana
Ila usipende kuchukulia mambo rshisi rahisi
Nina uhakika hujui ulichokiandika
wacha kukariri maisha
usalama wapo kulinda maslahi ya nchi sio kuchagulia nchi jirani Rais,inapobidi inaweza kufanya kama ni kwa usalama wa Tanzania tu
Ila waulize wazee wakupe habari ya Joyce Banda alivyopoteza urais,hajaamini mpaka leo,na upate pia calculations zilzomsimika Emmerson Dumbuzo Mnangagwa madarakani ndio utajua Tiss ni shirika lingine kabisa
 
Usilaumu kitu ambacho ukijui asa ulikuwa unataka wakipandiza raisi wakwambie au??!!
Si lazima wamwambie lakini wewe ukikuta mtu kapanda juu ya mti na amekalia tawi la huo mti huku analikata je unahitaji kuambiwa kwamba tawi likianguka naye ataanguka nalo??
 
Wee acha umama, S.Africa wanazindua ndege? SRG?

Sasa hivi tulitakiwa tuwe mbali sana kiuchumi...

Mambo ya ndege,SRG,BRT yalitakiwa yawe yamesha fanywa miaka ya 95 huko
Dhahiri wewe ni mtoto. Miaka 95 iliyopita unayosema hali ilikuwa mbaya zaidi. Ndio kwanza kizazi cha ukombozi cha akina Mwl. Nyerere kilikuwa kinazaliwa. Walaumu wakoloni kwa kutojenga SGR wakati huo. Waliweza kujenga S. Africa kwetu hawakufanya hivyo, ndio Rais Magufuli anafanya...tumuunge mkono tujenge taifa letu.
 
Una dhani ni kupandikiza tu kama unapandikiza mbegu ardhini au kupandikiza mbegu kwa mtoto wa kike we huyo unayemapndikizia kwani ayo maendeleo wananchi wa hizo nchi hawayataki kuna njia nyingi tu za kupambana kiuchumi siyo hiyo moja na ndo maana umetoa mfano mmoja tu toa nyingine tofauti na nchi ya marekani iliyo fanya ivyo mbona zenyewe huzisemi iweje bongo we bure kabisa
 
Back
Top Bottom