Usalama wa Taifa hutangaza nafasi za kazi ila sio direct kama watu tuvyofikiria

Mhusika kama atakuwa kijana na akawa na what the agency is looking anaweza kubahatisha. Nani ajuae...Pitia hapa sehemu ya story ya John Brennan aliekuwa boss ya CIA wakati wa Obama...
"While riding a bus to class at Fordham, he saw an ad in The New York Times that said that the CIA was recruiting. He decided that a CIA career would be a good match for his "wanderlust" and his desire for public service. He applied to the CIA in 1980. During his application he admitted during a lie-detector test that he had voted for the Communist Party candidate four years earlier. To his surprise, he was still accepted; he later said that he finds it heartening that the CIA valued freedom of speech"
 
kwanza si kazi ya kukimbilia kwa kuwa ukileta mahaba ya kibinadam nje ya maagizo hawaitaji dpp au kisutu,wanakupa ile kitu watu wanaogopa.
pia inahitaji usifanye mambo yako muda mwingi unawajibika hivyo huwezi jiajiri,
ukitoka ukitoa siri wanakupa zawadi ambayo roho inapenda
ukiwa na mgombea binafsi jiandae.
unatakiwa hata muda wa starehe unafikiria kazi.
Mimi niko tayari kuitumikia nchi yangu
 
Nipo tayari kufanya Kazi ya in former ili mradi tu nipewe ABC za nini cha kuripoti.
Kazi za Usalama wa Taifa hazitangazwi kama ajira nyingine za majeshi.

Kama nia yako ni ya kweli ya kizalendo kuilinda nchi yako unaweza kuifanya hiyo kazi kwa kujitolewa kama informer kama una taarifa zenye mashiko zifikishe kwenye ofisi ya DSO hapo unapoishi na utatambulika rasmi kama informer wao.
 
Ndugu zangu miongoni mwa Kazi ambazo toka nikiwa Mtoto nimekuwa nikiipenda ni ya usalama wa taifa. Hata hivyo hadi leo natamani nipewe Kazi hiyo ili niweze kulitumikia taifa langu kupitia eneo hilo. Natumai nitafanya vizuri sana. Naomba kwa wale mnaojua taratibu zipi zinatumika ili mtu kupata nafasi ya kuitumikia nchi kupitia eneo hilo
Hata ukilima,ukifuga,ukiwa mwalimu utakua umelitumikia taifa.

Sio lazima uende huko usalama ndio utumikie taifa.
 
Njoo lile jengo mithili ya Mwewe pale St. Peter's, hili jina ninalitumia jf ni jina la huku uraiani. Kule natumia jina la Chifu, sema wewe ni mgeni wa Chifu utaletwa ofisini kwangu, nitakuhoji na nikiridhika, kazi umepata. Ila usije siku ya Ijumaa, maana Jumatatu ni mbali.
P
 
Kumbe ni mawazo yako binafsi na sio unasema kitu chenye uhakika!!!
 
Njoo lile jengo mithili ya Mwewe pale St. Peter's, hili jina ninalitumia jf ni jina la huku uraiani. Kule natumia jina la Chifu, sema wewe ni mgeni wa Chifu utaletwa ofisini kwangu, nitakuhoji na nikiridhika, kazi umepata. Ila usije siku ya Ijumaa, maana Jumatatu ni mbali.
P
eti jtatu mbali sana.
 
Upo sahihi mkuu
Kama ndivyo ilivyo basi kuajiriwa usalama ni bahati ya mtu na sio sifa na uwezo stahiki.

Kuna mambo mengi hutokea au hata matangazo mengi ya kazi hutanganzwa, sasa kujua kazi hii ni vipi na mwajiri ni nani ni jambo la msingi sana la kuzingatia la kila muombaji.

Ikitokea matangazo yao ni ya namna hiyo sijui kama huwa wanapata watu sahihi au waliokusudiwa, kwa maana yeyote aliye makini haombi kazi kwa bahati nasibu ni lazima afuatilie kwanza juu ya akiombacho.

NB. Kuna matapeli wengi sana mjini na kujua huyu ni tapeli sio kazi rahisi labda kama anaanza utapeli, hivyo sio rahisi kuomba kazi kama huna taarifa za msingi juu ya kazi yenyewe na wahusika ni wakina nani.
 
Back
Top Bottom