Usalama wa taifa acheni ukuwadi kwa CCM! Ni kukosa weledi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usalama wa taifa acheni ukuwadi kwa CCM! Ni kukosa weledi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LATTICE BOND, Aug 22, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. L

  LATTICE BOND JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa Kweli Waafrika ni LAANA!!
  Yaana Serikali inatumia mahela meengi kupambana na mtu mwepesi kama Lema!! Kisa eti kataka haki itendekek kwenye uchaguzi wa meya!!
  Angalia yanayofanyika Mwanza wamachinga hawana amani kisa ... Eti walishinikiza matokeo halisi yatolewe!!
  Angalia MBeya Meya anauawa na wagomvi wake wa kibiashara propaganda za chini chini zinaenezwa eti huenda CDM wanahusika!!
  BADALA YA HAWA WANAOJIITA USALAMA WA TAIFA KULINDA MALI ZETU ZINAZOPANDISHWA NDEGE KILA SIKU KWENDA ULAYA, WAMEKALIA MAMBO YA KIPUMBAFU KABISA!!!!!
  National security must change their mind set!!!!! its not about CCM its about NATIONAL PROSPERITY!!
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Well said, while they should start with what comes first in priority, they ought to look also at the least, if any. But they have ignored the prior at the expense of the inferior. alas to them
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Zamani nilifikiri wanakisaidia chama tawala nimekuja kugundua hata chenyewe hakina usalama nikafikiri wanamsaidia rais kwenye utawala wake na kumjengea image nzuri kwa watu lakini mbona anazidi kuchukiwa.... kweli binafsi sielewi kazi yao ni ipi labda iliyobaki ni physical security ya rais ambayo hata bouncer anaweza kuifanya.
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huwezi kujua umuhimu wa mti hadi pale utakapoukata. Kwa sasa usalama wa taifa unawatukana lakini ukumbuke wanacheza kiasi kikubwa kuhakikisha unalala na kuamka asubuhi. Amani na utulivu uliopo haujaja bure bwana mdogo. Sasa kama unaona umechoka amani basi jaribu kuleta hoja zako za kichochezi ili nchi iwe kama Libya labda utapata akili na kuona thamani ya amani.
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Kwahiyo ni sawa na Mabonsa! siyo kuwa rais analindwa na askali wa JWTZ?
   
 6. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Kwani Libya kuna tatizo gani?

  Mbona unaimba wimbo wa zilipendwa!
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kweli kazi yao kubwa sasa ni kumlinda rais asipigwe kofi kama alivyofanyiwa Mwinyi zaidi ya hailo sioni.
   
 8. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hv hawa usalama wa Taifa wapo kweli? Inakuaje Twiga wanaibiwa na kupakizwa kwenye ndege! Dah ctak kuamini kama kuna usalama wa Taifa.
   
 9. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unajua kwa nini Nape alichagua kuanza kampeni zake vijijini hasa Mtwara na Singida......kule wengi hawajui tofauti ya amani na utulivu au upole na woga na wewe unaweza kuanzia huko si humu JF.
   
 10. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  tayari nshapata strass
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tanzania kuna amani!? na imeletwa na usalama wa taifa!?..yaani wale ni uozo tupu hawana msaada wowote kwa taifa letu
   
 12. p

  politiki JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  kawaeleze watu wa nyamongo na bulyankulu kuwa usalama wa taifa unalinda usalama na amani yao, nafikiri wewe ndio unaongoza kwa kuwa na mawazo ya kimla na umekuwa kipofu kiasi kwamba hata keyboard sijui huwa unaoinaje. usalama wa taifa wa Tanzania tangu lini ukawa unajishugulisha na usalama wa nchi yetu wakati mali zetu kuanzia madini mpaka wanyama wanaibiwa mchana kutwa na jua linawaka hakuna wanachokifanya. usalama wa taifa huko wapi wakati pesa za umma ndani ya UDA zinaingizwa ktk account ya mtu miaka miwili imepita na usalama wa taifa wako wamelala usingizi. usalama wa taifa inabidi uwe restructured na kutenganishwa mbali kabisa na siasa ili ubakie mhimili wa taifa no matter who is on the power.
   
 13. T

  TrueVoter JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 868
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 80
  ..toa propaganda zako za reja reja, amani gani unayoongelea ww? vile hakuna vita! rubbish! hakuna chombo chochote cha usalama hapa tz, wangekuwa wanajua kazi yao hao mamia ya wasomali wangevuka kila siku kuingia tz kinyemela? tushukuru Mungu tu vile bado anatutakia heri.
   
 14. k

  king11 JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sheria ya TISS iliyopitishwa na Mh. benjamin mkapa imewanyima usalama wa taifa nafasi ya kutenda bali wamebaki kama washauri
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...