WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
bb
Usalama wetu uko wapi? Usalama wa watoto wetu? Kesho ya watoto wetu ipo mikononi salama? Usalama wa mali zetu uko wapi? Nani anaejali usalama wetu? Response ya serikali na vyombo vya usalama ipo kwa kiasi gani?
Vyombo vya usalama vinalinda usalama wa wananchi wote au viongozi tu?
Kwa haya yote Tanzania tuna-amani na utulivu au utulivu bila amani? Ni kweli serikali na vyombo vya usalama vinahakikisha wananchi wake wapo salama?
Kiongozi (Ben wa saanane) wa chadema yuko wapi? Ni nani anaejali? Roma yuko wapi? Moni yuko wapi? Ni muda gani umepita mpaka vyombo vya usalama vimekuja kufuatilia? Kutekwa kwa Watanzania ndio jadi yetu mpya? Usalama wa kila mtanzania upo juu yake mwenyewe na familia yake au upo juu ya serikali na vyombo vya usalama?
Tanzania nchi ya amani kweli? Au ni nchi ya utulivu? Ya nini tuishi chini ya wingu ya amani na wakati hatuna amani? Tanzania na Somalia tunatofauti gani? Au kisa kwetu hamna mabomu na silaha?
Exactly Mkuu!Intelijensia ya polisi huwa inadetect uharifu kwenye mikutano ya chadema tu!
mwameja sanaExactly Mkuu!
Nadhani dhana ya "Any request from above is a command" ndiyo inayotuathiri wengi.Chochote kikifanywa kwa weledi pasipo kuangalia side (-ve) huwa na (+ve) impact kuliko kinyume chake.
intelijensia=intelijinsia ***.
uharifu=uhalifu.
chadema=CHADEMA.
Ashe Naleng Eroo!mwameja sana
wilson kaiser seniorUsalama wetu uko wapi? Usalama wa watoto wetu? Kesho ya watoto wetu ipo mikononi salama? Usalama wa mali zetu uko wapi? Nani anaejali usalama wetu? Response ya serikali na vyombo vya usalama ipo kwa kiasi gani?