Usalama wa Mtu kama Peter Kibatala unawekwa vipi

Katika miaka ya hivi karibuni takribani 10, jina la Peter Kibatala limekuwa maarufu sana. Umaarufu wake unatokana na yeye kuwa Wakili mashuhuri anayetambulika kama wakili msomi, nimekuwa nikifuatilia aina ya kesi anazopangua na dhidi ya watu anaowashinda, hakika kuna baadhi ya kesi anazoshinda inanipa mtazamo kuwa Peter ni mtu makini, anayejiamini, asiyenunulika wala kurubuniwa.

Napata shaka kuwa matendo ya Ujasiri wake yanaweza kuhatarisha hata uhuru wake, nafsi yake nk. Nasema haya kwasababu naamini wale anaowashinda kwenye kesi mbalimbali huwa hawafurahii.

Je watu kama hawa ambao ni hazina fulani hivi nani anafikiri juu yao, Mungu yupo ni kweli lakini hila, chuki navyo vipo. Tarehe 05.08.2021 nimeona akimfuata nadhani mfuasi wa CHADEMA aliyekuwa chini ya Ulinzi wa Polisi katika gari lao tayari kwa kumpeleka rumande kwa kile kinachosadikika kuwa alionyesha bango katika viunga vya Mahakama.

Amesikika Peter Kibatala akimwambi a huyo mwanachama "kamanda usiwe na wasiwasi we nenda Polisi ila tutakutoa kamanda usiwe na wasiwasi tutakutoa kama sio Polisi tutakutoa Mahakamani "

Hili limenitafakarisha sana sana, pamoja nyakati ngumu Mungu huwa anawainua watu kwa ajili ya wale waliokufa mioyo. Peter ni shujaa lakini inabidi nae aangaliwe, usalama wake nk.
 
Utashangaa siku utakayoambiwa Kibatala ni mtu wa system.
 
Kuna wakili msomi mwingine pia ni Mr.Gwajima yule, mume wa Waziri wa afya
 
Hiv hi ni miongoni mwa Products chache za mwanzo mwanzo Llb pale Mzumbe University. eti?
 
Upuuzi gani nime'justify' hapa kama uliyoandika ndiyo siyo upuuzi wenyewe?
achana nae atakuumiza kichwa
Haya ndo yanayojiita majenero

Akati General kama general hawezi wala kumuona anasilaha mtaani ngumu ,general power hii inawekea silaha mwanamke tena mdomoni mbele za watu
 
Katika miaka ya hivi karibuni takribani 10, jina la Peter Kibatala limekuwa maarufu sana. Umaarufu wake unatokana na yeye kuwa Wakili mashuhuri anayetambulika kama wakili msomi, nimekuwa nikifuatilia aina ya kesi anazopangua na dhidi ya watu anaowashinda, hakika kuna baadhi ya kesi anazoshinda inanipa mtazamo kuwa Peter ni mtu makini, anayejiamini, asiyenunulika wala kurubuniwa.

Napata shaka kuwa matendo ya Ujasiri wake yanaweza kuhatarisha hata uhuru wake, nafsi yake nk. Nasema haya kwasababu naamini wale anaowashinda kwenye kesi mbalimbali huwa hawafurahii.

Je watu kama hawa ambao ni hazina fulani hivi nani anafikiri juu yao, Mungu yupo ni kweli lakini hila, chuki navyo vipo. Tarehe 05.08.2021 nimeona akimfuata nadhani mfuasi wa CHADEMA aliyekuwa chini ya Ulinzi wa Polisi katika gari lao tayari kwa kumpeleka rumande kwa kile kinachosadikika kuwa alionyesha bango katika viunga vya Mahakama.

Amesikika Peter Kibatala akimwambi a huyo mwanachama "kamanda usiwe na wasiwasi we nenda Polisi ila tutakutoa kamanda usiwe na wasiwasi tutakutoa kama sio Polisi tutakutoa Mahakamani "

Hili limenitafakarisha sana sana, pamoja nyakati ngumu Mungu huwa anawainua watu kwa ajili ya wale waliokufa mioyo. Peter ni shujaa lakini inabidi nae aangaliwe, usalama wake nk.
Hata mimi hii kitu nimekuwa nikiwaza sana kwa muda mrefu tu tangu lissu alivyojeruhiwa...
 
Namshauri tu aangalie yaliyowatokea Watangulizi wake Nguli katika Fani Marehemu Masumbuko Lamwai na 'Poti' wangu kabisa wa 'Kizanaki' na aliyekuwa Mbunge wangu wa Butiama ( zamani Musoma Vijijini ) Mzee Nimrod Elirehema Mkono.

Namkubali mno PK, ila ajitahidi ajilinde.
 
Back
Top Bottom