Usalama wa mali na familia ndiyo agenda ya sasa CHADEMA kumshambulia Lowassa, wamesahau kuwa siyo mgombea tena 2020, watakumbuka shuka kumekucha.

Unamaoni gani kwa wale waliomuita Lowassa ni lofa na mpumbavu,baada ya kurudi CCM ulofa na upumbavu wa Lowassa hawajauona tena wamempokea kwa vigeregere na vifijo utafikri siyo lofa na mpumbavu waliyekuwa wanamuimba na kumdhalilisha kuwa alijinyea stand ya Chato.
Waumeufyata Lowassa ni kiboko yao tuna imani na lowassa oya oya oya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom