Usalama wa Tundu Lissu ataporejea Tanzania

Foreverfreed

Member
Aug 20, 2019
65
108
Habari za wakati huu wanajukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.

Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.

Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.

Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
 
Ikitokea walioshinda tenda wakatoka nje ya Afrika hawatarhusiwa,Polisi wetu Kama kawaida yao watasema wanao uwezo wa kumlinda,Kama walivyosema wanao uwezo wa kuchunguza wasiojuliana.
Kisha hawata mlinda na kuwaacha wasiojulikana wamdhuru Tena.
 
Lissu amekuwa mwiba kwa uongozi ni kweli kuna changamoto kubwa kuhusu usalama wake atakaporejea, kwanza shamrashamra za kumpokea zitazuiliwa, pili kuna uwezekano mkubwa akakamatwa na kuwekwa ndani na tatu yawezekana yakamkuta makubwa zaidi ambayo wavamizi wake waliyakusudia.

Nijiavyo uongozi huu utafanya moja kati ya hayo, ila kwavyovyote; Lissu atainua hisia kubwa na huruma (sympathy) kutoka kwa wananchi wengi na hilo litakuwa pigo la kisiasa kwa uongozi. Kwa kifupi Lissu ni tishio kwa jiwe na ni mtaji kwa CDM.
 
mkuu kwa sasa lissu n next level anawatega tu huyu jamaa kwa sasa ni next level ukimgusa tu umekwisha na ndo maana bila kukupesa macho lisu afikapo vyombo vya ulinzi wamwongezee ulinzi wa kutosha kuakikisha hakuna inzi wa kumsogelea na nadhani hata wao ilo wanalitambua maana kumgusa nikutafutia taifa majanga.
 
Lakini mwenyewe kamuandikia barua IGP Sirro amhakikishie ulinzi akirudi na alikuwa anasubiri ajibiwe.

Hii nchi ina mambo yakustaajabisha sana,juzi napo baada ya tukio la Mbowe wapambe walituambia kwamba hata Mbowe mwenyewe bado anategemea ulinzi toka serikalini ila wameondolewa kutokana na janga la Corona.

Hata kule kuendelea kuishi kwenye hayo majengo ya serikali ambayo ulinzi huondolewa ili watandikwe ni negligence unless huwa wanatuhumu watu kisiasa tu.
 
Ikitokea walioshinda tenda wakatoka nje ya Afrika hawatarhusiwa,Polisi wetu Kama kawaida yao watasema wanao uwezo wa kumlinda,Kama walivyosema wanao uwezo wa kuchunguza wasiojuliana.
Kisha hawata mlinda na kuwaacha wasiojulikana wamdhuru Tena.
[/QUOTEulinzi

Ni kampuni mahususi za ulinzi za humu nchini.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.

Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.

Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.

Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
Lisu kuja nchini,akikosa nafasi CDM kutimkia ccm Kama slaa,usiwe na hofu,mkakati upo hivo,na atakuwa bega kwa bega ktk kampeni .
 
Lissu akirudi atalindwa na nguvu ya umma, atafanya kampeni akiongozwa na nguvu ya umma, nguvu ya umma itampigia kura na kuzilinda. Na mwisho nguvu ya umma itasimamia uhesabuji wa kura zake na kusimamia matokeo yake ya kumpa ushindi
 
Lisu ni raia wa kawaida tu hapaswi kupewa ulinzi ,wa kazi gani
 
Ni kampuni mahususi za ulinzi za humu nchini.
Si hao hao watalipwa hela wammalize?

CHADEMA wana wajibu wa kumpa ulinzi wa hakika mtu wao Kama inawezekana, yeye, ndugu zake, na jamii isiyopendezwa na mambo haya wanaweza wakajipanga kumwezesha kuwa na ulinzi maalum, bila ya kuwategemea hao wanaomtafuta kumwondoshea mbali ndio tena wawe walinzi wake.

Kuomba huko, huenda ni kuweka ushahidi tu.
 
mkuu kwa sasa lissu n next level anawatega tu huyu jamaa kwa sasa ni next level ukimgusa tu umekwisha na ndo maana bila kukupesa macho lisu afikapo vyombo vya ulinzi wamwongezee ulinzi wa kutosha kuakikisha hakuna inzi wa kumsogelea na nadhani hata wao ilo wanalitambua maana kumgusa nikutafutia taifa majanga.
Kwa akili za hapa bongo sidhani kama wanan uwezo wa kung'amua hili.
 
Habari za wakati huu wanajukwaa.

Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.

Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.

Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.

Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.
Post ya SAA 11 wachangiaji 13
 
Lissu amekuwa mwiba kwa uongozi ni kweli kuna changamoto kubwa kuhusu usalama wake atakaporejea, kwanza shamrashamra za kumpokea zitazuiliwa, pili kuna uwezekano mkubwa akakamatwa na kuwekwa ndani na tatu yawezekana yakamkuta makubwa zaidi ambayo wavamizi wake waliyakusudia.

Nijiavyo uongozi huu utafanya moja kati ya hayo, ila kwavyovyote; Lissu atainua hisia kubwa na huruma (sympathy) kutoka kwa wananchi wengi na hilo litakuwa pigo la kisiasa kwa uongozi. Kwa kifupi Lissu ni tishio kwa jiwe na ni mtaji kwa CDM.
Hujuma yoyote dhidi ya mwamba LISSU itajibiwa haraka sana mara 10 zaidi! Tutawaonyesha watawala na vibaraka wao chenye we are capable of doing
 
Uhai ni muhimu kuliko chochote, lissu kwa nini usibaki huko? Hii pumzi ikiondoka ndo basi tena. Kwani uongozi kitu gani?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom