Usalama wa Ikulu ya Magogoni ni Kudra za Mungu tu

Mpandisha mishahara

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
1,699
1,455
Nimeinakili kutoka .

TANZANIA INVESTEMENT ADVENTURERS 01:57 Makala


[https://3]

Ikulu (State House) ya nchi ya Tanganyika sasa Tanzania lijengwa kwa namna ya kipekee na Wajerumani mwaka 1891 na gavana wa Kihuni Chakosi Dikwe na kutumika kama ngome ya gavana. Iliharibiwa wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia. Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza na hapo ngome hiyo (state house) iliitwa Nyumba ya Serikali “Government House”na ilijengwa tena mwaka 1922. Majengo hayo yamejengwa kwa ubora wa pekee na ni ya kihistoria kwani yalikuwa ni Ngome za magavana. Eneo la ikulu hiyo lilikuwa na ukubwa wa ekari 30 likianzia barabara ya Ohio ilipo Mahakama ya Rufani mpaka Hospitali ya Aghakhan kuizunguka bahari. Makazi haya ya rais nchini Tanzania yaliko Kaskazini Mashariki mwa jiji la Dar katika nyuzi 2 kutoka usawa wa bahari ndio makazi ya kiongozi wa nchini yaliyohatarini zaidi kuliko makazi ya rais yeyote barani Afrika kwa sasa.

............................................................................


Makala hii ipo katika kitabu kiitwacho "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" kilichoandikwa na Yericko Nyerere.


Huyu yeriko sikumwelewa
 
Unajidanganya....Kwa akili zangu za wanao itwa WANYONGE....ikulu ya magogoni ni sehemu salama zaidi....Kuna weza kua kuna mahandaki ya chini kwa chini....Na ndio maana kule chini salender bridge kuna ma askari wanalinda...Nili shangaa na haruhusiw mtu kupita Wala kupiga picha
 
Hatari niionayo hapo Ikulu ni CCM wenye msimamo mkali,na mabadiliko ya hali ya hewa Bahari kuingia hadi kwenye chumba cha mama

Laa sivyo mbona shwari
 
Back
Top Bottom