Hasa mida ya garimoshi, kama saa 12 jioni. Wanausalama hapa wangewapa kipaumbele waendao kwa miguu, kwani mara nyingi waenda kwa miguu hulazimika kuvuka kwa nguvu ili wasiachwe na gari moshi.
hivi viswahili vya kenya bana wabongo tukomaeni tu na kiswahili chetu hamna kubadilisha treni friji televisheni. Eti Garimoshi jokofu runinga. Na sasa hivi wanalazimisha Eti juisi kuiita 'kinywaji tamu' mikenya bana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.