Usajiri wa laini za simu unaonesha ni jinsi gani watanzania wazito wa kuelewa mambo

Unaongea usichokijua , kampuni zote za simu kwa sasa zinafanya usajili kwa mfumo wa KYC ambapo mteja huchukuliwa taarifa zake zote mpaka kupigwa picha na kitambulisho chake kinapigwa picha pia. Huwezi kutumia kitambulisho cha mtu kusajilia laini yako na ukifanya hivyo ni kosa kisheria. .... Mfumo wa kyc unalinganisha picha ya kwenye kitambulisho na picha anayokupiga wakala zisipomatch hiyo laini haifanyi kazi . case zilizopo ni wewe unaenda kununua lain na kujisajiri kwa majina, picha na kitambulisho chako na kumpatia MTU mwingine laini atumie. Lakini kujisajiri kwa kitambulisho cha mtu mwingine huo ni uongo . ulizia utaambiwa.



Mfumo wa kyc una kila kitu
Hawa walichokuwa wanafanya ukija kusajili line wanakusajilia line hata 3 kwa kitambulisho chako halafu wanakupa moja anabaki na zile mbili kwa ajili ya kuwauzia watu wasio na vitambulisho
 
Back
Top Bottom