Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,585
- 22,184
TCRA kupitia mitandao ya simu imetutaka kuanzia tarehe 1 mwezi wa 5 nasisitiza kuanzia na si mwisho, mwisho hawakutaja kwenye ujumbe, sasa tunaoshabikia kuwa mwisho tarehe 1 mwezi wa 5 taarifa hiyo tumeipata wapi!
Ukweli ni kuwa hatupendi kusoma ujumbe tunaotumiwa kwa kuamini kuwa kila kitu tunajua na kutokana na hilo ndipo tunapojikuta tunapongeza nyongeza ya muda ambayo haipo.
Watanzania tuache tabia ya ujuaji tusome kwa making taarifa tunazopewa.