Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

Status
Not open for further replies.
rejao, asipirin na faiza fox wasisahaulike. japokuwa mmoja kama vile kesha aga dunia. huyu faiza fox
 
katiba ya chadema inaruhusu kuanzisha tawi dogo la chadema endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika jamiiforums naamini kuna wapenzi wa chadema zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha tawi letu.

Hivyo basi kwa wale waliopo tayari naomba waweke majina yao kwenye huu uzi ili nifanye mawasiliano tuweze kuanzisha tawi letu. Pia naomba mpendekeze tawi letu liitwe jina gani

ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. Usajili bado unaendelea

1.lutayega
2.godwinnko
3.eliceco
4.hans79 ( elias koliwaka) email: j.hans79@yahoo.com
5. Ukweli mtupu
6.
tumbiri,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
7.kuku dume
8.mungi
9. Kalyovatipi
10. only83(amependekeza jina la chadema tawi la jamii forum)
11. 1800
12. Havizya
13. Kabembe
14. Bongolala-amependekeza jina la(j bongolala-jf branch ) anagombea nafasi ya accountant
15. Stk one, (natangaza nia ya kugombea u - katibu mwenezi)
16. Salma2015
17. Atabase agaya.
18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
19.ibange
20.mahoza
21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
22.kajunju

23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
24.kingungwe
24. Uncle rukus
25. 23.sabung'ori mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
26. Maoniyangu
27. Aaron 0768497592
28. Han'some.(anapendekeza jina la hazina janani
29. Mrdash1
30. Palalisote
31. Maoniyangu
32. Vaspanya
33. Gitwa
34. Kagame ( jina la tawi napendekeza liitwe cdm great thinker branch)
35.. Tangopori
36.mbumbumbu intelligent(mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho)jina la tawi liwe chadema mtandaoni
37.bibliography
38.gracious
39.libaba
40.nyengo--(atagombea-msemaji mkuu wa tawi)
41.ishina
42.mammamia (napendekeza jina tawi liwe cdm@jf.co.tz )
43.mwana fandey

updates
mpaka muda huu kama mnavyoona hapo juu orodha inaruhu kuanzisha tawi ila ila tawi haliwezianzishwa bila uongozi, kwa kuzingatia demokrasia na kutokana na ushauri wa baadhi ya wanachama mi nitakuwa mwenyekiti wa muda, na wanachama wote waliokwishajisajili na wale wanaoendelea kujisajiri munaombwa kupendekeza majina ya watu watakao ingia kwenye kamati ya uchaguzi mwisho wa kupendekeza majina ni tar27/5/2012 saa 5:00asubuhi, zoezi litakalofuata baada ya kupata majina nikuwapigia kura ili kupata tume huru ambayo itaendesha uchaguzi.
Fomu za nafasi mbalimbali za uongozi wa tawi zitaanza kutolewa kesho saa 11:00jioni, na kampeni zitaanza saa 2:00 usiku wa tar 27/5. Asanteni

50. Comi
 
Mponjori..namimi niongeze!
mi sioni tatizo ikiitwa chadema tawi la jamiiforums!kwan hata vyama vingine vinaweza kuanzisha matawi yao jamiiforums!tukisema chadema mtandaoni mitandao ipo mingi kuna facebook,wanabidii,twitter etc!let us be specific!

Mkuu heshima kwako,

Nimependekeza ”chadema mtandaoni” kwa sababu vuguvugu la ukombozi linaanzia mtandaoni. Kutaja neno ”jamii forum au jf” ndani ya jina la tawi kwa nionavyo mimi hai sound vizuri. Nashauri jina la tawi liwe na maneno machache yanayotamkika na kuandikika kiurahisi na ambayo yataaja majibu kuliko maswali kwa wapinzani.. Jina hilo halitakuwa more subjective rather than objective. Tuache media ziandike tawi jipya la cdm liitwalo ”chadema mtandaoni” ili wajue tupo mitandao yote na si jamii forums pekee..

Tukifanikiwa kutengeneza hili tawi kwa kupata wanachama wakutosha na kupeana mikakati ya kuliendesha na kulitangaza, nakuhakikishia saa ya ukombozi itafika mapema zaidi kabla ya 2015.

Najua CCM wataiga kama Nape anavyoiga slogans za CDM, maana they are no more creative..

Tweeter, Facebook na Wanabidii haina mvuto sana kwa wanamabadiliko coz people aint free to blast up the rooten govt of CCM.. So hakuna nguvu. Acha tuite ”chadema mtandaoni” ili tufunike mitandao yote.. Kama Tgo wanavyotumia rangi za mitandao pinzani yote kuonekana ipo juu yao!

Asante
Mbumbumbu intelligent.
 
Ongeza jina la shardcole hapo na sigombei uongozi wowote bali ntakuwa mwanachama wa kawaida" independent leader"
 
Naomba nami niongezwe kwa jina la, Dark City

Napendekeza jina liwe..."CHADEMA ONLINE"

Tawi hili ikiwezekana lipelekwe kwenye mitandao ya kijamii mingine kama FB,
 
Mkuu heshima kwako,

Nimependekeza ”chadema mtandaoni” kwa sababu vuguvugu la ukombozi linaanzia mtandaoni. Kutaja neno ”jamii forum au jf” ndani ya jina la tawi kwa nionavyo mimi hai sound vizuri. Nashauri jina la tawi liwe na maneno machache yanayotamkika na kuandikika kiurahisi na ambayo yataaja majibu kuliko maswali kwa wapinzani.. Jina hilo halitakuwa more subjective rather than objective. Tuache media ziandike tawi jipya la cdm liitwalo ”chadema mtandaoni” ili wajue tupo mitandao yote na si jamii forums pekee..

Tukifanikiwa kutengeneza hili tawi kwa kupata wanachama wakutosha na kupeana mikakati ya kuliendesha na kulitangaza, nakuhakikishia saa ya ukombozi itafika mapema zaidi kabla ya 2015.

Najua CCM wataiga kama Nape anavyoiga slogans za CDM, maana they are no more creative..

Tweeter, Facebook na Wanabidii haina mvuto sana kwa wanamabadiliko coz people aint free to blast up the rooten govt of CCM.. So hakuna nguvu. Acha tuite ”chadema mtandaoni” ili tufunike mitandao yote.. Kama Tgo wanavyotumia rangi za mitandao pinzani yote kuonekana ipo juu yao!

Asante
Mbumbumbu intelligent.

asante kwa kunielewesha.copy that!
 
Hiyo Kali Uanachama Na fake IDs sijui itakuwaje? Uongozi unachaguliwa bila kufahamiana? It is amazing hata Kama ni mambo ya mitandao? Hapa.... Mhhhh disagree kwa kweli.
 
Naomba nami niongezwe kwa jina la, Dark City

Napendekeza jina liwe..."CHEDEMA ONLINE"

Tawi hili ikiwezekana lipelekwe kwenye mitandao ya kijamii mingine kama FB,

Mkuu heshima kwako.

Nafikiri ulitaka kusema ”chadema online” na si ”chedema online” kama ndivyo basi ni poa sana... Na kwa kuwa umeandika kwa kiingereza ngoja mi nitafsiri, unamaanisha tuite ”CHADEMA MTANDAONI” kwa lugha yetu!

Nakuunga mkono.
Mbumbumbu intelligent.
 
Mkuu heshima kwako,

Nimependekeza ”chadema mtandaoni” kwa sababu vuguvugu la ukombozi linaanzia mtandaoni. Kutaja neno ”jamii forum au jf” ndani ya jina la tawi kwa nionavyo mimi hai sound vizuri. Nashauri jina la tawi liwe na maneno machache yanayotamkika na kuandikika kiurahisi na ambayo yataaja majibu kuliko maswali kwa wapinzani.. Jina hilo halitakuwa more subjective rather than objective. Tuache media ziandike tawi jipya la cdm liitwalo ”chadema mtandaoni” ili wajue tupo mitandao yote na si jamii forums pekee..

Tukifanikiwa kutengeneza hili tawi kwa kupata wanachama wakutosha na kupeana mikakati ya kuliendesha na kulitangaza, nakuhakikishia saa ya ukombozi itafika mapema zaidi kabla ya 2015.

Najua CCM wataiga kama Nape anavyoiga slogans za CDM, maana they are no more creative..

Tweeter, Facebook na Wanabidii haina mvuto sana kwa wanamabadiliko coz people aint free to blast up the rooten govt of CCM.. So hakuna nguvu. Acha tuite ”chadema mtandaoni” ili tufunike mitandao yote.. Kama Tgo wanavyotumia rangi za mitandao pinzani yote kuonekana ipo juu yao!

Asante
Mbumbumbu intelligent.

Nakubaliana wewe mkuu.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom