Usajili wa namba za simu kutumia alama za vidole ni kwa sababu zipi?

m sitaenda nione itakuaje...!!!
maana napenda utomaso asee adi basi
 
Una-link utambulisho wa mtu sio vitambulisho, fingerprint ni unique hata ichukuliwe na taasisi 101 itabaki ileile

By the way, kutukana ni upuuzi na beware baada ya hili zoezi hii tabia ya kutukana kiholela itakutokea puani
Nyambaf sio tusi. Unaweza kutuonyesha kwenye kamusi kama nimekutukana. Majina yanafanana mfano kuna yohana ezekiel masesa watano yupi utamweka kwenye fingerprint zinazofanana na zake. So kama wote wana fingerprint nic, pasport, line ya simu ukimquery mtu flani majina yatakuja na fingerprint za kila mtu zikiwa zipo linked pamoja kwenye database zote 3
 
nahisi nitakuwa wa mwisho kabisa kwenye hiyo foleni, labda wapange utaratibu wa kunifuata nilipo
 
Au ndiyo kupigwa chapa ktk kidole kama wasemavyo Freemason rejea makala zao
 
Nimetumiwa sms na Airtel pamoja na Tigo wakinijulisha kuhusu utaratibu mpya wa kusajili line ya simu kwa kutumia alama za vidole kuanzia mwezi ujao, Bila shaka kuna wengine mmeona jambo hili.

Najaribu kujiuliza kwanini nchi hii vitu vinabadilika kila baada ya sekunde chache, utaratibu huu mpya umelenga nini?

Ukipiga namba *106# wanakutumia ujumbe kuwa usajili wako umekamilika- na kukuletea Jina na namba yako. Sasa haya ya alama za vidole ni new requirement ya TCRA au ni ya kwao wenyewe jamani? Mbona mambo hayashe?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom