MalumeNdago
Member
- Jan 8, 2018
- 28
- 16
Msaada.
Nahitaji vitu gani ili nisajili line ya simu ya Kampuni?

Jibu hili hapa mkuu...na pia kitambulisho Cha mtu mwenye hisa nyingi katika hiyo kampuniNenda na TIN ya kampuni na leseni ya Brela.
Simple sana.Msaada.