Usajili wa Line ya Kampuni

Msaada.
Nahitaji vitu gani ili nisajili line ya simu ya Kampuni?
Simple sana.

TIN Number
Leseni ya Biashara
Cheti cha brela.
Namba ya NIDA/kopi ya kitambulisho cha NIDA ya mtu atakayeenda kusajili mana lazima aweke kidole

Toa Kopi vyote hivyo.
Peleka kwa mwnasheria aka-certify hizo kopi.

Nenda mlimani city (kwenye branch ndogo ndogo za makampuni ya simu hawasajili)

Within 5 minutes , umemaliza.

(Nilisajili ya voda)
 
Back
Top Bottom