Usajili wa line kwa wageni wasio Raia utaratibu ukoje?

Mi nimesajili zangu mbili leo ready for anything na miamala yote naamishia uku kupya..
 
Hicho kitambulisho cha ukimbizi hakionyeshi ni mkimbizi kutoka nchi gani, tunaweza kuwa na wakimbizi al-Shabaab tukadhani ni warundi, hicho cha mgeni kimeandikwa Kiswahili huyo mgeni kama hajui Kiswahili nalo ni tatizo jingine
Kwani Kiswahili sio lugha ya Taifa??

Unadhan Nida ndo wanapaswa kujifunza Lugha ya mgeni au mgeni anapaswa kujifunza lugha ya host(NIDA)????
 
Mmh kitambulisho cha uraia apewe mgeni ambaye siyo raia...?

Ila kwa nchi hii sio jambo la kushangaza kila kitu kinawezekana.
Hadi wakimbizi wanapewa hio ID ya NIDA sema inakua na utaifa wa nchi husika
 
Kwani Kiswahili sio lugha ya Taifa??

Unadhan Nida ndo wanapaswa kujifunza Lugha ya mgeni au mgeni anapaswa kujifunza lugha ya host(NIDA)????
sasa wewe ukienda china ukapewa kitambulisho kimeandikwa kichina utakisomaje, hivi mtu anaekaa miezi sita akaweza soma kiswahili kwa ufasaha?
 
sasa wewe ukienda china ukapewa kitambulisho kimeandikwa kichina utakisomaje, hivi mtu anaekaa miezi sita akaweza soma kiswahili kwa ufasaha?
Kwahiyo Wachina watakuandikia Kimeru au kikurya unachoelewa??

You adapt to environment or the environment adapt to you??.....Go figure
 
Tcra ndo wangetoa mwongozo

ila hii mission yao naiona inafeli mchana kabisa kwasababu walibidi wahakikishe hivyo vitamburisho vya NIDA vinapatikana kwa angalau 98%,kwamba kila mtanzania afu ndo wangeanza na hii mission yao,

Vinginevyo wanaaribu biashara za watu tu.
1576945372221.png

put the cart before the horse sir!
 
Back
Top Bottom