vodacom wamekataa kusajili wageni kwa kutumia passport wanasema hawajaelekezwa hivyo, kwa wenye work parmit nashangazwa huo utaratibu ni siri na haueleweki.Wageni wote, wanasajiliwa kwa kutumia passport zao za kusafiria cha msingi zisiwe expired. Kwa wale wenye work permit na waliokaa zaid ya miezi sita, kuna utaratibu nida wanatoa vitambulisho vya uraia kwa hao wageni, so wanaweza kusajiliwa kwa biometric.