Usajili wa laini za simu kwa alama za vidole against ujumbe uliozagaa leo

Mchambuzi.
Kabla ya kuwaita hao ‘malayman’ hebu fafanua kidogo hapo, kwani nikishapewa copy ya namba (kama ni copy anyway) nitakuwa pia sina vidole vya kubofya..?

Vinginevyo utuambie kama system inao uwezo wa kutambua kuwa ‘namba’ hii imetumika kusajili Kidole X, mleta mada anaweza kuwa na kitu cha kutafakari... ila ujumbe aliotumia kama ushahidi umeandikwa hovyo hovyo mno binafsi siwezi kuamini mwandiko wa hivyo.
Amini am usiamini ila mtu awezi kusajili line kwa kitambulisho chako bila wewe kuweka kidole chako, otherwise ukatwe kidole chako abaki nacho.
Ni Layman tu ndiyo atasambaza na kuaminini huo ujumbe.
 
Back
Top Bottom