Usajili :Niyonzima ataka dau kubwa yanga

EdLach

Member
Jun 19, 2017
5
3
Habari ya Niyonzima kuachana na Yanga imeniumiza sana bora hata angesaini timu nyingine tofauti na mtani wetu. Hii ni sawa na kumuuacha mwanamke aolewe na rafiki yako huku ukimpenda but sio mbaya tutampata kiungo mwingine pengine akawa zaidi yake. Maisha mema Niyonzima huko uendako
 
Nasikia anataka asomeshewe hadi watoto wake.

Niyonzima tulimpenda ila hali ya uchumi sio nzuri kwa sasa.

Walikuwepo akina Lunyamila wakaondoka ila Yanga bado ipo.

Daima mbele nyuma mwiko.
 
Hivi hao watoto wapo nursery alio haidiwa kusomeshewa au wapo kidato cha ngapi? Usije watoto wanamiaka 2 kwa 5 akategemea wamsomeshee Kwa mkataba wa miaka 2? Atakuwa amekula kwake. Yeye ajipange kuwasomesha yeye mwenyewe. Wata mgeuka huko mbele hasa akiwa na majeraha ya muda mrefu
 
Habari ya Niyonzima kuachana na Yanga imeniumiza sana bora hata angesaini timu nyingine tofauti na mtani wetu. Hii ni sawa na kumuuacha mwanamke aolewe na rafiki yako huku ukimpenda but sio mbaya tutampata kiungo mwingine pengine akawa zaidi yake. Maisha mema Niyonzima huko uendako
Yanga hamuwezi kumzuia mchezaji,kwanza hamna hela labda msome arubadiri ndo anaweza rudi
 
Hivi yule babu Kamusoko unalingana na fundi Niyonzima kweli. Kamusoko alikimbizwa na kina kichuya kanyanyua mikono kuomba sub!
 
Back
Top Bottom