Usajili na utoaji wa leseni za ardhi Dar es salaam

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,635
29,967
WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi.

Kupitia mpango huo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wote watatambuliwa na kisha kupewa leseni ya makazi au hati ya makazi ambayo itakuwa katika mfumo wa kieletroniki.

Akizungumza leo Machi 16,2019 wakati wa uzinduzi wa mpango huo ambao utaanza kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kisha kuendelea mikoa yote nchini, Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema leseni hiyo baada ya kutolewa itadumu kwa miaka mitano.

“Ndani ya hii leseni ya kieletroniki ambayo itadumu kwa miaka mitano kutakuwa na taarifa zote muhimu.Kutakuwa na jina la mmiliki wa ardhi, ukubwa wa kiwanja, majirani zake, namba za kitambulisho cha Taifa na taarifa nyingine muhimu.

“Kwa hiyo leseni hiyo ya makazi itawezesha kila kipande cha ardhi kutambuliwa kikamilifu, hata ukiwa nje ya Tanzania kiwanja kitaonekana maana kipo kieletroniki.

“Tutaondoa changamoto za ujambazi wa viwanja lakini pia wakati huo huo leseni ya makazi itasaidia katika kupata mkopo benki na leseni hii itarahisisha masuala ya ulinzi na usalama,”amesema Lukuvi.

Amesema kila mwananchi atatakiwa kuchangia Sh.5000 ambapo Sh.4000 zitakwenda katika manispaa na Sh.700 itakwenda kwa kijana ambaye ni mtaalama anayetembea na simu kwa ajili ya kufanya usajili huo na Sh.300 zitakwenda kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa ambaye atakuwa na mtaalam husika.

Amefafanua kuwa jambo hilo litakwenda nchi nzima na haamini kama kuna Mtanzania atashindwa kupata Sh.5000 kwa ajili ya kupata leseni ya makazi ambayo haina tofauti na hati zaidi ya kwamba yenyewe itakuwa ya miaka mitano.

Amesema leseni hiyo ya makazi itakuwa na taarifa zote kama zile ambazo ziko kwenye hati ya makazi na kubwa zaidi thamani ya mwenye hati na leseni ya makazi wote wako sawa.

Lukuvi ametoa ombi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo akatoa mkazo wa kuhakikisha kote nchini wanashiriki kikamilifu mchakato huo ambao pia utasaidia kuongeza makusanyo ya kodi ya Serikali.

Amesema leseni hizo mpya ni muhimu na kutoa ufafanuzi kwa Mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu kuwa nazo kwani leseni za makazi zilizokuwepo zimekwisha muda wake maana ni za mwaka mmoja mmoja tu.

“Sheria ya makazi inaeleza wazi walioko kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na yapo kiholela badala ya kubomoa makazi yao yanatakiwa kuboreshwa.Nia ya Serikali ni kuhakikisha watu wanaishi kwa usalama katika makazi yao, kikubwa tunaomba ushirikiano kufanikisha mchakato huu.Hatutatoka Dar es Salaam hadi pale ambapo tutaona tumemaliza kazi,”amesema Lukuvi.

Kabla ya mpango huo, amesema kulikuwa na mchakato wa kurasimisha makazi lakini ukweli mchakato huo unachangamoto zake kwani wapo wenye leseni za makazi lakini wahusika wameshindwa kuzichukua kutokana na gharama yake kuwa kubwa lakini kupitia mpango huo mpya gharama iko chini.

Akifafanua zaidi kuhusu mpango huo amesema hatua ya kwanza itakuwa ni kupita maeneo yote na kisha kuchukua taarifa za kila mhusika na baada ya hapo wataalam wataziweka katika daftari na kisha kurudisha tena kwa wananchi kulipitia na baada ya hapo sasa ndio zitaandaliwa taarifa rasmi ambazo zitakuwa mtandaoni na zipatikana hata kwenye simu ya mkononi.

“Kwa mara ya kwanza kila Mwenyekiti wa mtaa na Serikali ya mtaa watakuwa na daftari ambalo litaonesha taarifa zote,”amesema Lukuvi na kufafanua.
 
Good move minister
 
Mlipowabomolea mwanzoni hamkujua kuwa kuna maeneo yanatakiwa kuendelezwa. Umeona 2020 inakaribia mnaanza kusinyaa kazi mnayo. Watanzania siyo wadanganyika kama mlivyozoea
 
Mambo mengine ukiwaza sana unapata shida na wanasiasa wetu, izo laki mbili zetu tunapigwa na usishangae na hilo lisifike mwisho basi tu ndio Africa iyo
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo yale makampuni yanayopima ardhi kwa 200,000/= yaendelee au yasimame?? au ndio kama kama kawaida ya kukurupuka na mipango mipya ukiwa hata haujui 'status' ya mipango iliyo katika utekelezaji?
serikalini kuna very poor coordination!
 
Nampongeza waziri Lukuvi Kwa huu mpango rafiki kabisa. Ikiwa na mawaziri wabunifu kama huyu wanyonge watashindwaje kuunga mkono serikali?

Mpango wa kupima viwanja Kwa kutumia makampuni ni pesa nyingi sana.zitawachelewesha kukusanya kodi na watakaolipa ni wachache sana. Shs.200,000 na maeneo mengine 300,000 ni pesa nyingi sana. Tunachelewesha uchumi wetu sisi wenyewe bila sababu za msingi.

Kweli kabisa, wakikusanya hiyo 5000 hasa kwenye makazi ya mjini ni pesa nyingi sana na hii inaweza kusaidia mipango ya kuboresha makazi holela na hata ku plan maeneo mapya ya makazi
 
WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi.

Kupitia mpango huo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wote watatambuliwa na kisha kupewa leseni ya makazi au hati ya makazi ambayo itakuwa katika mfumo wa kieletroniki.

Akizungumza leo Machi 16,2019 wakati wa uzinduzi wa mpango huo ambao utaanza kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kisha kuendelea mikoa yote nchini, Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema leseni hiyo baada ya kutolewa itadumu kwa miaka mitano.

“Ndani ya hii leseni ya kieletroniki ambayo itadumu kwa miaka mitano kutakuwa na taarifa zote muhimu.Kutakuwa na jina la mmiliki wa ardhi, ukubwa wa kiwanja, majirani zake, namba za kitambulisho cha Taifa na taarifa nyingine muhimu.

“Kwa hiyo leseni hiyo ya makazi itawezesha kila kipande cha ardhi kutambuliwa kikamilifu, hata ukiwa nje ya Tanzania kiwanja kitaonekana maana kipo kieletroniki.

“Tutaondoa changamoto za ujambazi wa viwanja lakini pia wakati huo huo leseni ya makazi itasaidia katika kupata mkopo benki na leseni hii itarahisisha masuala ya ulinzi na usalama,”amesema Lukuvi.

Amesema kila mwananchi atatakiwa kuchangia Sh.5000 ambapo Sh.4000 zitakwenda katika manispaa na Sh.700 itakwenda kwa kijana ambaye ni mtaalama anayetembea na simu kwa ajili ya kufanya usajili huo na Sh.300 zitakwenda kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa ambaye atakuwa na mtaalam husika.

Amefafanua kuwa jambo hilo litakwenda nchi nzima na haamini kama kuna Mtanzania atashindwa kupata Sh.5000 kwa ajili ya kupata leseni ya makazi ambayo haina tofauti na hati zaidi ya kwamba yenyewe itakuwa ya miaka mitano.

Amesema leseni hiyo ya makazi itakuwa na taarifa zote kama zile ambazo ziko kwenye hati ya makazi na kubwa zaidi thamani ya mwenye hati na leseni ya makazi wote wako sawa.

Lukuvi ametoa ombi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo akatoa mkazo wa kuhakikisha kote nchini wanashiriki kikamilifu mchakato huo ambao pia utasaidia kuongeza makusanyo ya kodi ya Serikali.

Amesema leseni hizo mpya ni muhimu na kutoa ufafanuzi kwa Mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu kuwa nazo kwani leseni za makazi zilizokuwepo zimekwisha muda wake maana ni za mwaka mmoja mmoja tu.

“Sheria ya makazi inaeleza wazi walioko kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na yapo kiholela badala ya kubomoa makazi yao yanatakiwa kuboreshwa.Nia ya Serikali ni kuhakikisha watu wanaishi kwa usalama katika makazi yao, kikubwa tunaomba ushirikiano kufanikisha mchakato huu.Hatutatoka Dar es Salaam hadi pale ambapo tutaona tumemaliza kazi,”amesema Lukuvi.

Kabla ya mpango huo, amesema kulikuwa na mchakato wa kurasimisha makazi lakini ukweli mchakato huo unachangamoto zake kwani wapo wenye leseni za makazi lakini wahusika wameshindwa kuzichukua kutokana na gharama yake kuwa kubwa lakini kupitia mpango huo mpya gharama iko chini.

Akifafanua zaidi kuhusu mpango huo amesema hatua ya kwanza itakuwa ni kupita maeneo yote na kisha kuchukua taarifa za kila mhusika na baada ya hapo wataalam wataziweka katika daftari na kisha kurudisha tena kwa wananchi kulipitia na baada ya hapo sasa ndio zitaandaliwa taarifa rasmi ambazo zitakuwa mtandaoni na zipatikana hata kwenye simu ya mkononi.

“Kwa mara ya kwanza kila Mwenyekiti wa mtaa na Serikali ya mtaa watakuwa na daftari ambalo litaonesha taarifa zote,”amesema Lukuvi na kufafanua.
Hapatakua na upimaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 19, 2019
Dar es Salaam, Tanzania
UJUE MFUMO WA UTOAJI LESENI ZA MAKAZI KWA KILA MMILIKI WA ARDHI Hatua kwa hatua

19 Mar 2019
Serikali imepanga kutambua na kusajili vipande vya ardhi kwenye maeneo yaliyotangazwa kuiva kimji ambavyo havijapangwa, kupimwa na kumilikishwa.

Mpango huu utawezesha wananchi walio wengi wenye nia ya kutambuliwa na Serikali kupata leseni ya makazi ili kuongeza usalama wa miliki wa ardhi wanayoitumia na kuwa chachu ya maendeleo kiuchumi na kama hatua ya awali ya kuchochea upangaji na upimaji wa ardhi.

Maeneo yatakayotambuliwa yataongeza wigo wa ukusanyaji wa kodi ya pango la ardhi kwa kila kila kipande cha ardhi mjini. Zoezi la kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi mjini litaanza kwa awamu ya kwanza katika Jiji la Dar es Salaam na baadae kuendelea kutekelezwa nchi nzima.

Zoezi hili litahusisha maeneo yanayoendelea na urasimishaji, maeneo yaliyopangwa na kupimwa lakini hayajamilikishwa, maeneo yaliyoandaliwa leseni za makazi na maeneo ambayo hayajahusishwa na zoezi lolote la urasimishaji na utoaji wa leseni za makazi.

Kwa viwanja ambavyo vimepimwa lakini havijamilikishwa, wamiliki wa viwanja hivyo watambuliwa na kuingizwa kwenye mfumo wa kodi. Kwa maeneo ambayo yanaendelea na mpango wa urasimishaji, taarifa za vipande vya ardhi zitakusanywa na kuunganishwa na mfumo wa kodi na kukadiria kodi. Katika maeneo tajwa hapo, taratibu za umilikishaji zitaendelea kwa vipande vya ardhi kuandaliwa hati.

Katika maeneo ambayo hayapo katika mpango wa urasimishaji na hayajapimwa viwanja, utafanyika utambuzi na usajili wa kila kipande cha ardhi kilichopo katika maeneo hayo kwa kutumia mfumo wa kieletronik wa Land Information Management System (LIMS). Taarifa za vipande vya ardhi zitakazokusanywa zitawezesha kukadiria kodi ya pango la ardhi na uandaji wa leseni za makazi kwa wamiliki.
Source : ARDHI TV
 
April 17, 2019
Dar -es-Salaam, Tanzania
KUPATA HATI YA KIWANJA SASA KWA 150,000/= TU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Shilingi 250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.

Source : Mcl Digital

Soma kwa urefu na kina taarifa ya Mh. William Lukuvi :
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia sasa gharama za urasimishaji haitazidi shilingi 150,000 badala ya 250,000 iliyopangwa awali na makampuni yatakayoenda kinyume yatachukuliwa hatua ikiwemo kufutwa.

Lukuvi alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Makampuni ya Upangaji na Upimaji yanayofanya kazi ya urasimishaji katika mitaa mbalimbali nchini pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi.

Kwa mujibu wa Lukuvi, baada ya Wizara yake kuona zoezi la urasimishaji linasuasua wamegundua asilimia 30 pekee ndiyo iliyorasimishwa tangu kuanza zoezi hilo na hali hiyo imechangiwa na uwezo mdogo wa wananchi wengi kumudu gharama za urasimishaji.

Waziri Lukuvi alisema, alichotegemea kwa makampuni yaliyopewa kazi ya urasimishaji ni kuwa na uzalendo kwa kushusha gharama lakini yameshindwa kupunguza gharama jambo lililoifanya serikali kuona haja ya kupitia upya gharama hizo na kubaini gharama za msingi ili kumuwezesha mwananchi kupata hati na kusisitiza punguzo hilo halitawahusu waliolipia gharama za urasimishaji.

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameyataka makampuni yanaoyoendesha zoezi la urasimishaji kuhakikisha kiasi cha fedha inachowatoza wananchi kinaishia hatua ya Hati na gharama itakayolipwa na mwananchi baada ya kurasimishwa ni kodi ya ardhi na kuyatahadharisha kutochukua muda mrefu kukamilisha zoezi hilo.

Amewataka wananchi wote wanaoishi kwenye maeneo yasiyo rasmi kuhakikisha wanaingia katika zoezi la urasimishaji ili kupata hati itakayowawezesha kiuchumi na kusisitiza kuwa suala hilo linafanyika kwa nia njema kwa nia ya kuwaongezea mtaji wananchi kwa kupatiwa nyaraka itakayowasiadia kukopa fedha benki.

Akigeukia suala la Leseni za Makazi, Waziri Lukuvi alisema zoezi hilo linaendelea vizuri katika jiji la dar es Salaama kwa gharama ya shilingi elfu tano hadi hatua ya upatiwaji leseni ya makazi na kusisitiza kuwa leseni hiyo siyo ya kudumu bali itakuwa kwa miaka mitano na kuwataka wananchi walio katika maeneo ya urasimishaji kuendelea na zoezi hilo kwa kuwa wizara inayo kanzi data itakayotunza takwimu za mazoezi yote mawili.

‘’Tunataka kuwa na database ya nani anamiliki ardhi kiasi gani na kila mwananchi lazima awe na leseni ya makazi au hati kwa lengo la kushiriki kulipa kodi’’ alisema Lukuvi.

Hata hivyo, Lukuvi alisikitishwa na baadhi ya Makampuni ya urasimishaji kushindwa kutoa takwimu wakati wa zoezi la upimaji zinazoendana na miongozo ya wizara na kuyataka yote yaliyoenda kinyume kurudia zoezi na kuongeza kuwa kuna makampuni 34 yaliyotuma takwimu ambazo ni chafu na kuyapongeza makampuni mawili ya Visible Planners na Afro Max kwa kufuata taratibu zote za urasimishaji.

Lukuvi alionya baadhi ya makapuni ya urasimishaji kuacha kuwalaghai wananchi kwa kuwapatia leseni za makazi badala ya hati kwa gharama za urasimishaji na kusema kufanya hivyo ni kosa la uhujumu uchumi na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Vile vile Lukuvi amewataka watendaji wa serikali ambao wana makampuni yanayofanya kazi ya urasimishaji kuchagua jambo moja la kuitumikia serikali ama makampuni yao kwa kuwa wanatumia muda mwingi kufanya kazi katika makampuni yao badala ya kuitumikia serikali.

‘’Ninyi watendaji wa serikali badhi yenu mna makampuni ya urasimishaji na ndiyo mnaoharibu zoezi mnataka squatters ziendelee ili mnufaike na mnapima halafu michoro mnapitisha ninyi hii ni _conflict of interest_ ’’ alisema Likuvi.
Source : Ardhi TV
 
April 17, 2019
Dar -es-Salaam, Tanzania
KUPATA HATI YA KIWANJA SASA KWA 150,000/= TU

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Lukuvi ameshusha tozo ya kupima na kurasimisha makazi na hatimaye kupata hati ya kiwanja kutoka Shilingi 250,000 hadi 150,000 ili kuwawezesha wananchi wengi kupata hati hizo ili walipe kodi ya ardhi.

Source : Mcl Digital

amebadili tena gia angani :oops::oops:? au mimi ndio simwelewi huyu Lukuvi.
 
WIZARA ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi imezindua rasmi mpango wa kutambua na kusajili kila kipande cha ardhi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kama sehemu ya kuongeza usalama wa milki ya ardhi.

Kupitia mpango huo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wote watatambuliwa na kisha kupewa leseni ya makazi au hati ya makazi ambayo itakuwa katika mfumo wa kieletroniki.

Akizungumza leo Machi 16,2019 wakati wa uzinduzi wa mpango huo ambao utaanza kwa Mkoa wa Dar es Salaam na kisha kuendelea mikoa yote nchini, Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema leseni hiyo baada ya kutolewa itadumu kwa miaka mitano.

“Ndani ya hii leseni ya kieletroniki ambayo itadumu kwa miaka mitano kutakuwa na taarifa zote muhimu.Kutakuwa na jina la mmiliki wa ardhi, ukubwa wa kiwanja, majirani zake, namba za kitambulisho cha Taifa na taarifa nyingine muhimu.

“Kwa hiyo leseni hiyo ya makazi itawezesha kila kipande cha ardhi kutambuliwa kikamilifu, hata ukiwa nje ya Tanzania kiwanja kitaonekana maana kipo kieletroniki.

“Tutaondoa changamoto za ujambazi wa viwanja lakini pia wakati huo huo leseni ya makazi itasaidia katika kupata mkopo benki na leseni hii itarahisisha masuala ya ulinzi na usalama,”amesema Lukuvi.

Amesema kila mwananchi atatakiwa kuchangia Sh.5000 ambapo Sh.4000 zitakwenda katika manispaa na Sh.700 itakwenda kwa kijana ambaye ni mtaalama anayetembea na simu kwa ajili ya kufanya usajili huo na Sh.300 zitakwenda kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa ambaye atakuwa na mtaalam husika.

Amefafanua kuwa jambo hilo litakwenda nchi nzima na haamini kama kuna Mtanzania atashindwa kupata Sh.5000 kwa ajili ya kupata leseni ya makazi ambayo haina tofauti na hati zaidi ya kwamba yenyewe itakuwa ya miaka mitano.

Amesema leseni hiyo ya makazi itakuwa na taarifa zote kama zile ambazo ziko kwenye hati ya makazi na kubwa zaidi thamani ya mwenye hati na leseni ya makazi wote wako sawa.

Lukuvi ametoa ombi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo akatoa mkazo wa kuhakikisha kote nchini wanashiriki kikamilifu mchakato huo ambao pia utasaidia kuongeza makusanyo ya kodi ya Serikali.

Amesema leseni hizo mpya ni muhimu na kutoa ufafanuzi kwa Mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu kuwa nazo kwani leseni za makazi zilizokuwepo zimekwisha muda wake maana ni za mwaka mmoja mmoja tu.

“Sheria ya makazi inaeleza wazi walioko kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na yapo kiholela badala ya kubomoa makazi yao yanatakiwa kuboreshwa.Nia ya Serikali ni kuhakikisha watu wanaishi kwa usalama katika makazi yao, kikubwa tunaomba ushirikiano kufanikisha mchakato huu.Hatutatoka Dar es Salaam hadi pale ambapo tutaona tumemaliza kazi,”amesema Lukuvi.

Kabla ya mpango huo, amesema kulikuwa na mchakato wa kurasimisha makazi lakini ukweli mchakato huo unachangamoto zake kwani wapo wenye leseni za makazi lakini wahusika wameshindwa kuzichukua kutokana na gharama yake kuwa kubwa lakini kupitia mpango huo mpya gharama iko chini.

Akifafanua zaidi kuhusu mpango huo amesema hatua ya kwanza itakuwa ni kupita maeneo yote na kisha kuchukua taarifa za kila mhusika na baada ya hapo wataalam wataziweka katika daftari na kisha kurudisha tena kwa wananchi kulipitia na baada ya hapo sasa ndio zitaandaliwa taarifa rasmi ambazo zitakuwa mtandaoni na zipatikana hata kwenye simu ya mkononi.

“Kwa mara ya kwanza kila Mwenyekiti wa mtaa na Serikali ya mtaa watakuwa na daftari ambalo litaonesha taarifa zote,”amesema Lukuvi na kufafanua.
Rais kasema wizara ina maneno mengi utendaji zero
 
April 19, 2019
Kigamboni, Dar es Salaam
LUKUVI ATAHADHARISHA WANANCHI WANAONUNUA ARDHI KWA WENYEVITI SERIKALI ZA MITAA
Waziri wa Adhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William lukuvi amewaonya wenyeviti wa Serikali za Mitaa kutojihusisha na masuala ya uuzaji ardhi katika maeneo mbalimbali kwa kuwa hapaswi kisheria kufanya kazi hiyo.

Mh. Lukuvi alitoa onyo hilo jana wakati alipokwenda kusuluhisha mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kikwajuni Vijibweni maarufu kama kwa Mkorea wilayani Kigamboni mkoa wa Dar es Salaam na Mwekezaji ‘Registered Trustee of Korea Church Mission’ katika eneo hilo la ukubwa wa ekari 305.

Mh.Lukuvi alisema sheria ya ardhi haisemi kama wenyeviti wa mitaa wanaruhusiwa kusimamia uuzaji ardhi na kusisitiza kuwa wenyeviti hao hawana mamlaka ya kufanya hivyo na mwenye jukumu la kusimamia masuala ya ardhi katika miji ni halmashauri za mji au Manispaa.

Waziri wa Ardhi alisema mtu yeyote atakayeuziwa ardhi kupitia wenyeviti hao wa mitaa au mtu mwingine asiyetambuliwa kisheria basi atakuwa ameuziwa ‘bomu’ na kuwataka wananchi kuwa makini na suala hilo na kuwashauri kabla ya kununua eneo lolote ni vyema wakaiuliza mamlaka husika iwapo eneo husika limepangwa kwa matumizi ya aina gani ili kuepuka kubomolewa. ‘

’Ukitaka kununua kiwanja kwanza kaulize Manispaa maana unaweza kununua eneo kumbe ni la kuzikia kwani manispaa ndiyo inayojua kama eneo hilo ni salama’’ alisema Lukuvi Katika hatua nyingine, Waziri Lukuvi ametoa siku kumi kwa halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam kufanya uhakiki kwa wananchi wote wanaoishi eneo lenye mgogoro na Mwekezaji la Kikwajuni Vijibweni Kigamboni maarufu kwa Mkorea ili kupata taarifa sahihi za wananchi hao.

Aidha, amemtaka Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Dar es Salaam Methew Mhonge kupata nakala ya hukumu ya kesi ya wananchi hao dhidi ya Mwekezaji ‘Registered Trustees Korea Church Mission’ inayoonesha kuwa wananchi wa eneo hilo wameshindwa kesi na wanatakiwa kuondoka.

Maagizo hayo ya Lukuvi yanafuatia kuelezwa na wananchi 22 wa Kikwajuni kupitia mwakilishi wao Meja Mstaafu Peter Ismail kuwa haki haikutendeka wakati wa zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wa eneo hilo jambo lililosababisha kukataa kuchukua fidia na wengine 6 kudai nyongeza ya fidia huku wananchi 95 wakilalamika.

Meja Mstaafu Peter Ismail alisema, wao walichukua uamuzi wa kutokubaliana na mwekezaji aliyetaka kuwafidia laki nne kwa ekari moja wakati wao walitaka kulipwa shilingi milioni moja kwa ekari moja na kufafanua kuwa kilichowashangaza ni Mwekezaji kulipa fidia mwaka 2015 wakati zoezi hilo lilitakiwa kufanyika miezi sita baada ya Agosti 2004.

Kwa upande wa wananchi sita wanaotaka kuongezewa fidia wananchi hao kupitia mwakilishi wao Hamza Rashid walidai kesi yao iliamuliwa kupatiwa taarifa halisi ya uthamni na siyo nakala kama walivyofanyiwa jambo walilolieleza kuwa halikufanyika. Kufuatia hali hiyo, Waziri Lukuvi aliagiza taarifa zote muhimu zipatikane kipindi cha siku kumi ikiwemo Mwekezaji kuwasilisha mpango wa jinsi atakavyolitumia eneo hilo la ekari 305 sambamba na chanzo cha mtaji wa uwekezaji huo.

Eneo la Kikwajuni Vijibweni maarufu kwa Mkorea kwa muda mrefu tangu mwaka 2004 limekuwa na mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa eneo hilo na Mwekezaji ‘Registered Trustees Korea Church Mission’ anayetaka kujenga chuo Kikuu.

Source : Ardhi TV
 
Nampongeza waziri Lukuvi Kwa huu mpango rafiki kabisa. Ikiwa na mawaziri wabunifu kama huyu wanyonge watashindwaje kuunga mkono serikali?

Mpango wa kupima viwanja Kwa kutumia makampuni ni pesa nyingi sana.zitawachelewesha kukusanya kodi na watakaolipa ni wachache sana. Shs.200,000 na maeneo mengine 300,000 ni pesa nyingi sana. Tunachelewesha uchumi wetu sisi wenyewe bila sababu za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kurasimisha au kutoa Leseni za makazi katika miji yetu kumetokea na serikali kushindwa kupanga na kupima viwanja ili wananchi wajenge ktk maeneneo yaliyopangwa na kupimwa. Hili sio kwa wanyonge tu bali hata kwa tabaka zote. Je hatujaona sehemu zinazorasimishwa au kutolewa Leseni kuna nyumba zenye thamani kubwa ambazo sio za wanyonge? Ni kwa sababu wote walikosa kupata viwanja vilivyopangwa na kupimwa, sio wanyonge.
Kwa nini miji yetu yote mikubwa maeneo ya katikati ya miji au pembezoni mwake imepangwa vizuri? Sehemu hizi zilipangwa wakati wa ukoloni au miaka michache baada ya Uhuru. Baada ya hapo wananchi waliinuka kiuchumi walipataka kujengenga walikosa viwanja vilivyopangwa na kupimwa. Ujenzi holela ukaanzia hapo.
Sasa tutoa Leseni au Kurasimisha, hatupangi miji! Watu wanasogea mbele zaidi wanajenga tena sehemu zisizopangwa ea kupimwa na mamlaka zinawaangalia. Ujenzi holela unaendelea. Duara (vicious circle) linaendelea tutarasimisha tena baada ya miaka 10 au 20 na miji inaendelea kujengwa hovyo.

Kama madhumuni ni kutafuta kodi bila kujali mandhari ya miji yetu, tuendelee kurasimisha bila kudhiti ujenzi Mpya basi vizazi vijavyo vitatushangaa sana.
Hawa makubwa hawaoni miji ya wenzetu huko nchi zingine wafanyaje? Badala ya kurasimisha wanawekeza kikubwa kwa kuvunja ujenzi holela eneo lote husika, baada ya hapo watapata kodi nzuri na wananchi wao watoona wanaheshimiwa sana, wataipenda serikali yao. Ndicho ilivyofanywa Magomeni na kwingineko Dar es salaam baada ya Uhuru. Mwenye taarifa tofauti anisahihishe.
Kurasimisha, leseni, kurasimisha, bila mipango endelevu ya kupanga miji na kupima miji yetu tutapanga maji kwenye kinu
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nampongeza waziri Lukuvi Kwa huu mpango rafiki kabisa. Ikiwa na mawaziri wabunifu kama huyu wanyonge watashindwaje kuunga mkono serikali?

Mpango wa kupima viwanja Kwa kutumia makampuni ni pesa nyingi sana.zitawachelewesha kukusanya kodi na watakaolipa ni wachache sana. Shs.200,000 na maeneo mengine 300,000 ni pesa nyingi sana. Tunachelewesha uchumi wetu sisi wenyewe bila sababu za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kurasimisha au kutoa Leseni za makazi katika miji yetu kumetokea na serikali kushindwa kupanga na kupima viwanja ili wananchi wajenge ktk maeneneo yaliyopangwa na kupimwa. Hili sio kwa wanyonge tu bali hata kwa tabaka zote. Je hatujaona sehemu zinazorasimishwa au kutolewa Leseni kuna nyumba zenye thamani kubwa ambazo sio za wanyonge? Ni kwa sababu wote walikosa kupata viwanja vilivyopangwa na kupimwa, sio wanyonge.
Kwa nini miji yetu yote mikubwa maeneo ya katikati ya miji au pembezoni mwake imepangwa vizuri? Sehemu hizi zilipangwa wakati wa ukoloni au miaka michache baada ya Uhuru. Baada ya hapo wananchi waliinuka kiuchumi walipataka kujengenga walikosa viwanja vilivyopangwa na kupimwa. Ujenzi holela ukaanzia hapo.
Sasa tutoa Leseni au Kurasimisha, hatupangi miji! Watu wanasogea mbele zaidi wanajenga tena sehemu zisizopangwa ea kupimwa na mamlaka zinawaangalia. Ujenzi holela unaendelea. Duara (vicious circle) linaendelea tutarasimisha tena baada ya miaka 10 au 20 na miji inaendelea kujengwa hovyo.

Kama madhumuni ni kutafuta kodi bila kujali mandhari ya miji yetu, tuendelee kurasimisha bila kudhiti ujenzi Mpya basi vizazi vijavyo vitatushangaa sana.
Hawa makubwa hawaoni miji ya wenzetu huko nchi zingine wafanyaje? Badala ya kurasimisha wanawekeza kikubwa kwa kuvunja ujenzi holela eneo lote husika, baada ya hapo watapata kodi nzuri na wananchi wao watoona wanaheshimiwa sana, wataipenda serikali yao. Ndicho ilivyofanywa Magomeni na kwingineko Dar es salaam baada ya Uhuru. Mwenye taarifa tofauti anisahihishe.
Kurasimisha, leseni, kurasimisha, bila mipango endelevu ya kupanga miji na kupima miji yetu tutapanga maji kwenye kinu
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya Ardhi mbona mna matamko mengi? Kuna Urasimishaji unafanywa na Makampuni karibu Nchi nzima wananchi tumelipa 200,000/= mpaka sasa hatujajua hatima yetu mmekuja tena na mradi mwingine wa kupima vipande vya Ardhi kwa sh.5000/= tuufuate mradi gani?Na nini hatima ya zile sh.200,000/=?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlipowabomolea mwanzoni hamkujua kuwa kuna maeneo yanatakiwa kuendelezwa. Umeona 2020 inakaribia mnaanza kusinyaa kazi mnayo. Watanzania siyo wadanganyika kama mlivyozoea
Pesa inatafutwa hapa kama kwenye vitambulisho vya machinga.
 
Nampongeza waziri Lukuvi Kwa huu mpango rafiki kabisa. Ikiwa na mawaziri wabunifu kama huyu wanyonge watashindwaje kuunga mkono serikali?

Mpango wa kupima viwanja Kwa kutumia makampuni ni pesa nyingi sana.zitawachelewesha kukusanya kodi na watakaolipa ni wachache sana. Shs.200,000 na maeneo mengine 300,000 ni pesa nyingi sana. Tunachelewesha uchumi wetu sisi wenyewe bila sababu za msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnyonge ni nani?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom