Usajili gani umekushtua msimu huu?

Course Coordinator

JF-Expert Member
Jul 27, 2019
1,681
3,065
Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea .

Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha team nyingi zikiwa hoehae kifedha hivo zingine kuuza wachezaji bila kupenda.

1. Messi kwenda PSG
2.Cristiano kwenda Man u
3.Sancho kwenda MAN U
4.Lukaku kwenda CHELSEA
5.Grealish kwenda Man City
6.Ramos kwenda PSG
7.Miquisone kwenda Al Ahly.

Tumsubirie Mbappe kwenda Madrid pia.
Manara kwenda Yanga pia ni usajili .
 
Messi nilijua ataenda Man City
Ameogopa ligi ngumu
Au ameona waamerica huwa hawa shine sana EPL .
Messi haijaigopa EPL lakini umewezaje kuiusisha Man City na Lionel Messi? Cos kuna Pep ambae wanafahamiana vyema pia wana pesa! Lakini Je! Man City wasingekuwa wamemsajili Jack unahisi wangekubali Messi wamkose? Pia hakukuwa na ata na tetesi kuwa uwenda Messi angetoka pale Barca ni la kushtukiza mno! Sheria ya mapato na matumiza imewanyima Citty Messi.
 
Yes uko sahihi.

City walipoona hamna dalili za Messi kuondoka Barca waliamua kumvuta Grealish, baadae mambo yalipokwama Barca na Messi kuachiwa wakawa hawana ujanja naye tena maana tayari wana Grealish
 
Messi haijaigopa EPL lakini umewezaje kuiusisha Man City na Lionel Messi? Cos kuna Pep ambae wanafahamiana vyema pia wana pesa! Lakini Je! Man City wasingekuwa wamemsajili Jack unahisi wangekubali Messi wamkose? Pia hakukuwa na ata na tetesi kuwa uwenda Messi angetoka pale Barca ni la kushtukiza mno! Sheria ya mapato na matumiza imewanyima Citty Messi.
Walikua na uwezo wa kumuuza Sterling ili kuepuka adhabu ya financial fair play .
Labda shinikizo KUTOKA kwa Neymar PSG wamsajili rafiki yake Messi kwa sababu ilikua ngumu pia Barcelona Kumrudisha Neymar .
 
Wangesubiri mpaka leo wanatafuta sehemu ya kumuuza Sterling? Na Messi akiwa anawasubiri wao tu!
 
Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao .
Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea .

Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha team nyingi zikiwa hoehae kifedha ,hivo zingine kuuza wachezaji bila kupenda.

1.Messi kwenda PSG
2.Christiano kwenda Man u
3.Sancho kwenda MAN U
4.Lukaku kwenda CHELSEA
Misquino
5.Grealish kwenda Man City
6.Ramos kwenda PSG
7.Miquisone kwenda Al Ahly.

Tumsubirie Mbappe kwenda Madrid pia.
Manara kwenda Yanga pia ni usajili .
Ajib kwenda Yanga
 
Back
Top Bottom