Usaili wa Kazi e-Government Agency

Jay Milionea

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
1,185
154
Jamani wataalam nambien kwa upande wenu mambo yalivyokuwa kwenye practical leo maana jana DUCE ilikuwa kigongo leo tena duu balaa. Kama ulitegea darasani leo kuumbuka ilikuwa nje nje.
 
duuh hivi interview za utumishi ni huwaga maswali ya darasani kumbe??
 
Sehemu kubwa nimeshuhudia jana na washikaji walikuwa wanasema paper kigongo. Duu km ulitegea darasani na zaidi ukaririshwa mambo unajitoa mapemaaaaa. Paper na practical za eGA hutoboi kaka, kama vipi piga kipindi upya ujipange hawa jamaa (eGA) hawajawahi kumuacha mtu salama. Hujui mambo jua kabisa huwezi kanyaga kwao hata kwa dawa.
 
Najiuliza sipati majawabu mitihani ya utumishi Mara nyingi huwa maswali 50 kila swali huwa limebeba alama sawa hapa ni kwa aptitude test..inakuaje watu huwa wanapata alama zisizogawanyika kwa mbili? Mfano.61,63,33,39....
Ni Mimi tu Mwenye kigugumizi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom